Hapa kwenye hili swala mi masema kagame anakwama ila kuhukumu kwa harakaMkuu hapo kwa kusema kawaunganisha warwanda mbona unatupanga [emoji3],pk hamna alipofeli hapo rwanda kama ukabila na udikteta,population ya rwanda tutsi awafiki hata 30% lakini most ya idara za kiserikali na kiraia zinaendeshwa na tutsi
Tena sana na wabongo wanavyomuogopa jamaa unafikili kama unclear daaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Teh teh teh 😂😂😂 huu uzi una vituko kweli kweli..😂😂
Kwasababu Kagame kafuta Vitambulisho vinavyobagua Makabila kama vile vilivyotumika katika kuwajua Watutsi ili kuwaamgamiza.Mkuu hapo kwa kusema kawaunganisha warwanda mbona unatupanga 😀,pk hamna alipofeli hapo rwanda kama ukabila na udikteta,population ya rwanda tutsi awafiki hata 30% lakini most ya idara za kiserikali na kiraia zinaendeshwa na tutsi
Tusihukumu kwa haraka sana pengine anajihami na kwa kuogopa itatokea genocide nyingine baada wahutu kushika dola.Hapa kwenye hili swala mi masema kagame anakwama ila kuhukumu kwa haraka
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Weee wanajuana vizuri kabisa, mkuu tena kabisa tena sanaKwasababu Kagame kafuta Vitambulisho vinavyobagua Makabila kama vile vilivyotumika katika kuwajua Watutsi ili kuwaamgamiza.
Sasa hivi ni vigumu kujua kuna Wahutu wangapi au Watutsi wangapi na Watwa ni wangapi kwenye Idara za Serikali na Taasisi za Nchi ya Rwanda.
Sidhani kama kuna Data labda uniwekee hapa nami niisome.
Wanajuana kivipi?Weee wanajuana vizuri kabisa, mkuu tena kabisa tena sana
Abaki kidogo mpaka huu mgogoro uishe halafu kuna mgogoro mwingine upo kwenye Horizon katika Nchi ya Burundi ambao huenda ukazaa Genocide kama hakuna Nchi nyingine zitakazoenda kizuia hiyo Genocide Paul Kagame alishaapa kuwa atatuma Askari wake kwenda kuzuia Genocide popote pale Afrika. Urumva!Hivi Kagame anamaliza lini uongozi wake? Nakumbuka kwenye uchaguzi wa mara ya mwisho(sikumbuki ulikuwa mwaka gani) lakini nilimsikia akisema akimaliza awamu hii hatagombea tena! Akaanza kumshughulikia yule mrembo aliyekuwa mpinzani wake.
Kunielewa ni ngumu mno huyu amekwisha jioni ni nchi ndogo, yenye rasilimali finyu, chamno akachukue DRC, kibabe, akibanwa sana atakopa silaha nzitonzito za kutisha za maangamizi akishafikia stage hiyo atakuwa anafanya apendavyo kutakuwa hakuna wa kumletea fyoko na Kongo atajigawia kwa ukubwa aupendao, take my note!Aje atusaidie kuwang'oa CCM na tutampa ushirikiano, kama waganda walivyotupa kwenye vita ya Uganda ili kumng'oa amini.
Mbona sisi tuna silaha nzito nzito za kutisha na bado huwa tunawatisha Wamalawi kwamba wasilete fyoko fyoko wakati tumeikalia Ardhi yaoakigonga sana atakopa silaha nzitonzito za kutisha za maangamizi akishafikia stage hiyo atakuwa anafanya apendavyo
MUSEVENI HAKUMPELEKA NI USA WENYEWE WALINCHUKUA USICHANGAYE, TENA NI CIA NDO WALICHUKUA MKUUAipindue mara ngapi ? ,unaongelea Congo hii au Congo ya Mars ? ,Congo hii ambayo kaifanya kama chooni kwake ? , he shit in it anyway and anyhow he want , hujui kwamba Yule commander , tena the best and trusted military commander of all time na tegemeo wa Paulo Kagame ,Yule Kabarebe aliwahi kuwa mkuu wa jeshi la Congo ? ,Au Hilo nalo mpaka uambiwe ?,yule Joseph Kabila junior ni kibaraka wa Kagame mpaka leo hii sasa angekpindua ili iweje ,kipindi cha kabila we uliwahi ona misuguano kati Kagame na Kabila junior ? .
Museveni hakuwa mjinga kulipeleka lile lijamaa military college kule Marekani aliona brain capacity yake
Anawapa wakongo.SIASA za Rwanda ni ngumu mno. Sisi kama nchi, timejipambanua mbele ya jumuiya za kimataifa kwamba ni non alligned country.
Kama kuna mkwara au vitisho vyovyote kutoka kwa Mheshimiwa Rais Kagame, ni wazi kwamba vitakuwa vinaelekezwa Kenya, Uganda au Congo DRC.
Mkuu siraha zinazoogopwa duniani kwa sasa ni missile, makombola ni siraha hatari sana ukiwa na missile mzuri aaa hakuna wasiwasi wowote mkuu, congo kule ANAHITAJI missile m23 wanatwangika vizuri sana.Mbona sisi tuna silaha nzito nzito za kutisha na bado huwa tunawatisha Wamalawi kwamba wasilete fyoko fyoko wakati tumeikalia Ardhi yao
Kwanini isiwe Rwanda ambayo haikalii Ardhi ya mtu yoyote?
Kwahiyo Nyani haoni Kundule anaona la mwenzake.
MKUU WATU WENGI WANAFIKILI DEFENCE INDUSTRY NI KITU AMBACHO SI CHA GHALAMA, UKWELI NI KWAMBA NCHI ZA AFRICA KUMILIKI SIRAHA HATARI ZA MAANGAMIZI SIO RAHISI,Mbona sisi tuna silaha nzito nzito za kutisha na bado huwa tunawatisha Wamalawi kwamba wasilete fyoko fyoko wakati tumeikalia Ardhi yao
Kwanini isiwe Rwanda ambayo haikalii Ardhi ya mtu yoyote?
Kwahiyo Nyani haoni Kundule anaona la mwenzake.
Ukiachana na jet fighter na drone.AK-47 TENA RWANDA NDO ZIMEJAA HATARI
PKP- LIGHT MACHINE GUN
HEAVY MACHINE GUN KAMA DSK, AU CHINESE TYPE W85
RPG
recoilless rifle
mortar bomb
BM21 multiple rocket launcher
type63 multiple rocket launcher
artillery 105mm
artillery 155mm
Ant tank missile.