Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

wa misungwi na anataka kumpiga kitwanga anahonga wazi wazi. Kuna simu 500 za mnyeti na walevi wanamtaja wazi
Kumbe ni Mbunge wangu Mtarajiwa ..... Watakuwa wameachiana na Bashite hao!! Kuna mchezo utakuwa unachezwa nyuma ya pazia ...!!
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni lazima awe na angalau shahada moja ya Sheria kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na TCU
Ndiyo waambie atakuwaje spika huku sheria nyingi hazijui?
Spika ajaye huenda ni Jenista Mhagama au Tulia Ackson.
Paul Makonda labda waziri wa mambo ya ndani/ waziri wa habari na sanaa
 
Kuna hatari Makonda akawa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Waziri kwa wati mmoja. [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Nyinyi ndio mnakosea, maana tangu jana Mnyeti kachukua hamjalalamika, leo kachukua Makonda mnalalamika, inaonyesha mna chuki binafsi na Makonda, au na nyie mna double standard?
Una uhakika watu hawajalalamika?
 
Kumbuka huyu hajateuliwa kugombea ubunge ametia tu nia mpaka hapo chama kitakapomteua kugombea na kuchukua fomu za Tume ya uchaguzi ninayo mifano kadhaa ya wakuu wa Mikoa na Wilaya waliotia nia ambapo katika kipindi cha kura za maoni ndani ya chama waliomba waliposhindwa kuteuliwa na chama walirudi kwenye nafasi zao mmoja wao ni Mareham Abbas Kandoro akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza alitia nia kugombea ubunge huko kwao aliposhindwa kura za maoni ndani ya chama chake alirudi na kuendelea na ukuu wa Mkoa
 
Nyie mburulaz mbona hamuelewi? Kwani ni mkuu wa mkoa peke yake aliye kazini kuchukua fomu? Yule mwingine tangu jana amechukua, kwanini msiseme atumbuliwe? Nyumbu bana
Tunasubiri wawe wengi tukiwatumbua tusisumbuke kuandika barua moja moja itamaliza wino wa wananchi
 
Mapolisi na majeshi mengine hawatakiwi kuwa wanachama wa chama chochote cha kisiasa hali kadharika mahakimu na majaji nao hawatakiwi kuwa wanachama wa vyama vya kisiasa wakiutaka ubunge sharti kwanza wajiuzuru kisha wajiunge wawe kwenye vyama vya kisiasa Katiba yetu inataka mgombea ubunge lazima adhaminiwe na chama cha siasa
 
Yes,nakumbuka kwa kesi ya kandoro lakini kandoro hajaenda kuomba ridhaa akiwa Kama mkuu wa mkua,nadhani ilikuwa Kama case ya mzee Mwanri,mfano Mwanri akikosa Tena anaweza pewa ukuu wa mkoa Tena.Lakini Sina uhakika maana Sina kifungu halisi Cha sheria lakini kwa nnavokumbuka nadhani haikubaliki
 
Kipindi cha kura za maoni aliomba ruhusa kama wanavyoomba wa sasa ila wa sasa wakiomba ruhusa wanatenguliwa Waraka wa utumishi upo wazi. Kuteua na kutengua ni mamlaka ya Rais kadri anavyoona inafaa hatuwezi kuhoji kwa nini amemteua fulani au amemtengua Katiba inampa mamlaka hayo labda tu Rais ameshindwa kuyaishi maneno yake lakini tusubiri muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…