Sio kweli kaka.Tena kwa heshima kabisa usipotoshe umma.Kitendo tu Cha kuonesha kuwa unaenda kunihusisha na chama Fulani Cha siasa Ni kwamba kabla inatakiwa kuacha kazi,madaraka yako.Hii Ni kwa sababu mkuu wa mkoa anahudumia watu wa vyama Vyote.
Ndio maana katiba inakataza na kihistoria Hakuna mtu alienda kugombea chama fula Ni Kisha akashindwa akarudi palepale.sio kweli,Kama Ni hivyo hata mahakimu,mapolisi,majani,walimu,n.k wangekuwa wanaenda kuomba ridhaa, wakikataliwa wanarudi kwenye majukumu yao.Kama una ushahidi wa hayo uliyosema lete hapa.