Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Makonda angekuja Ukonga huku ndio watu wanampenda na walikuwa wanamtajataja sana! Au labda anaenda Kigamboni kimkakati
 
Baada ya kuona wasio na akili wengi tu wamekuwa wabunge na wanashangiliwa sana bungeni, kaona anastahili pia
Wewe mwenyeakili utaemdelea kufuta meza anazomywea mwenyekiti konyagi huku hao unaoita hawana akili wakieendelea kula mema ya nchi
 
Kwani ameshapitishwa?
 
H
Nyie mburulaz mbona hamuelewi? Kwani ni mkuu wa mkoa peke yake aliye kazini kuchukua fomu? Yule mwingine tangu jana amechukua, kwanini msiseme atumbuliwe? Nyumbu bana
Huyo mwingine nani,,,, kama ni Mwanri alishaachia ngazi... Huwezi ukawa kiongozi wa eneo hilo alafu unagombea eneo hilohilo. HAIWEZEKANI.
 
CCM wanaweza kufanya hivyo.....imeshawahi kutokea awamu ya tatu ya mzee Ben....kuna mama aliwahi kuteuliwa ivyo....
Enzi za JK Engineer Stella Manyanya pia alishakua na vyeo vingi vingi kwa mpigo.
 
Wewe mwenyeakili utaemdelea kufuta meza anazomywea mwenyekiti konyagi huku hao unaoita hawana akili wakieendelea kula mema ya nchi
Hiyo inaeleweka, wafuasi na makuwadi wa Idd Amin walikula mema sana pia! Ulaji wa wasio akili na waovu una mwisho mbaya sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…