Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...ukabila...JPM asipoteua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hakika itakuwa ni zaidi ya....!
Wewe mikedean vipi!? Viongozi wote katika Serikali ni WANACHAMA NA MAKADA WA CHAMA TAWALA, CCM, kwa mantiki hiyo basi ni "KUONESHA KUWA UNAENDA KUJIHUSISHA NA CHAMA FULANI CHA SIASA"; hayo kwenye mabano ni maneno yako! Kwa mantiki hiyo basi waachie kazi na madaraka yao! Hawa ni makada na ni watumishi wa umma wanaweza kutia nia wakati wakiwa kazini na watahudumia ofisi zao hadi hatua ya UTEUZI WA CCM na hatimaye NEC! Huo ndio ukweli na utaratibu HASA HASA kwenye nafasi za KUTEULIWA. Kwa WAAJIRIWA , utaratibu ndio huo unaosema wewe. Kumbuka kuna political appointments as opposed to employments.Sio kweli kaka.Tena kwa heshima kabisa usipotoshe umma.Kitendo tu Cha kuonesha kuwa unaenda kunihusisha na chama Fulani Cha siasa Ni kwamba kabla inatakiwa kuacha kazi,madaraka yako.Hii Ni kwa sababu mkuu wa mkoa anahudumia watu wa vyama Vyote.Ndio maana katiba inakataza na kihistoria Hakuna mtu alienda kugombea chama fula Ni Kisha akashindwa akarudi palepale.sio kweli,Kama Ni hivyo hata mahakimu,mapolisi,majani,walimu,n.k wangekuwa wanaenda kuomba ridhaa, wakikataliwa wanarudi kwenye majukumu yao.Kama una ushahidi wa hayo uliyosema lete hapa.
Huo Waraka unawahusu employees wa kawaida na SIYO POLITICAL APPOINTEES jamani mbona mnataka kulazimisha mambo. Hebu nendeni mkausome sawasawa na kujua ukweli wa mambo yalivyo.Huo waraka unawahusu watumishi wanyonge,watumishi dizaini ya Makonda,Mnyeti huo waraka kwao ni kama kijarida tu kama cha gazeti la Shigongo.
Soon mtaona Barua kutoka ikulu mawasiliano. Lazima watakuwa replaced.Bila kujiuzulu Ukuu wa Mkoa?
Kwa hiyo ni Mkuu wa Mkoa pekee nchi nzima aliechukua fomu akiwa na madaraka yake yote ya Ukuu wa mkoa.
Mnaweza kuhisi amekuja kwenye kampeni kumbe yupo kwenye ziara ya kikazi, halafu mkaonyesa vidole vyenu vya Peopleeeeesss.
Na atapiga kampeni huku akiwa na Cheo Chake Cha Ukuu wa Mkoa kama Kawaida.
Halafu Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi yupo chini ya Mkuu wa Mkoa.
Kuna hatari Makonda akawa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Waziri kwa wati mmoja.
Chalamila, Ole Sabaya mnajisikiaje huko mliko.??
Hatujasikia akifanyiwa replacement, na Mnyeti pia kachukua form hatusikii replacement yao.
Wengine wakigusa tu unasikia wametumbuliwa.
Mshikaji kwa double standard hajambo.
Mnyeti na Makonda ni wasukuma.
Mkulu sasa aanzie hapo kubalansi uteuzi mfumo kristo sasa unatia kichefuchefu!!Tunamsubiri Rais wetu mpendwa asiyekuwa na upendeleo kuteua mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam na kumwapisha chap chap.
Hapana, hao walishatolewa Ukuu wa Mkoa, ni MNYETI WA MANYARA
Kwani kuchukua fomu ndio unaenda bungeni?
[emoji3][emoji3][emoji3] mkuu huyo atapitishwa tu, tena na unaibu waziri atapewa..just wait and seeDaudi Bashite Niko tiyari kufa ila ubunge atumpi kilaza mpaka atuonyeshe vyeti
Kulikoni? Mbona alisema kuwa ubunge ni cheo kidogo sana kuliko ukuu wa Mkoa? Ana wasiwasi au?Hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa sana Paul Christian Makonda achukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni.
Huyu ni tofauti na wengine...JPM asipoteua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hakika itakuwa ni zaidi ya....!
Magufuli hizi double standards iko siku utalipa gharamaBila kujiuzulu Ukuu wa Mkoa?
Kwa hiyo ni Mkuu wa Mkoa pekee nchi nzima aliechukua fomu akiwa na madaraka yake yote ya Ukuu wa mkoa.
Mnaweza kuhisi amekuja kwenye kampeni kumbe yupo kwenye ziara ya kikazi, halafu mkaonyesa vidole vyenu vya Peopleeeeesss.
Na atapiga kampeni huku akiwa na Cheo Chake Cha Ukuu wa Mkoa kama Kawaida.
Halafu Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi yupo chini ya Mkuu wa Mkoa.
Kuna hatari Makonda akawa Mbunge, Mkuu wa Mkoa na Waziri kwa wati mmoja.
Chalamila, Ole Sabaya mnajisikiaje huko mliko.??
Kwani sifa za kuwa mbunge zikoje! Hajakidhi