Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

Kwa hiyo na nawewe kwa akili yako timamu unaamini uzushi huo wa huyu kichaa mleta mada? Acheni kumchafua Mheshimiwa Makonda
If he did so, but if not! Worry out!, hatukipendi chama, kiasi cha kuyaremba maovu ya utovu wa nidhamu, hatwendi namna hiyo, tunakipenda chama katika misingi ya uadilifu, heshima na nidhamu.
 
Hakuna hata mtu alirekodi kavideo hapo kwenye mishkaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…