Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
Aahaaawote wababe hapo kila mmoja keshaumiza watu huko nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaawote wababe hapo kila mmoja keshaumiza watu huko nyuma.
Makondo amefika mpaka Semanjiro?Aiseeh huko Simanjiro nini tena....
Soon utasikia fulani katekwa, sijasema Mimi lakini maana walishasemaga 'Tajiri Mtata km Salaa...' Si unajua unapodeal na Tajiri nini kinajiriMjinga na aliyemrudisha bashite mjini
Hapo juu ameandika Asubuhi?.Kwamba huyo Salah hajafunga mpk ale mishkaki asubuhi?
If he did so, but if not! Worry out!, hatukipendi chama, kiasi cha kuyaremba maovu ya utovu wa nidhamu, hatwendi namna hiyo, tunakipenda chama katika misingi ya uadilifu, heshima na nidhamu.Kwa hiyo na nawewe kwa akili yako timamu unaamini uzushi huo wa huyu kichaa mleta mada? Acheni kumchafua Mheshimiwa Makonda
Hakuna hata mtu alirekodi kavideo hapo kwenye mishkaki?Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.
Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga. Sasa ni hivi aliesimamia zoezi zima la Bashite kuachia nyumba aliyowapora ni mdogo wake GSM Salaah . By the way nyumba anayoililia Bashite sio nyumba ya kitoto, nyumba ina lifti ndani.
Sasa ni hivi last week huyu Salaah alikuwa anafanya hayo mazoezi ya baskeli huko Masaki barabarani, na Bashite nae akawa anafanya mazoezi ya mguu yani kama ana powerwalk huku ndinga kubwa ya CCM inamfata nyuma.
Sasa out of nowhere gari iliyokuwa inamfata Bashite nyuma ikataka kumgonga Salaah,Salaah kama akakwepa na baiskeli yake then aka shout like wewe hunioni? Mbona huangalii watu barabarani? Basi dereva hakujibu akaenda mbele kama kuongea na Bashite then gari likarudi spidi likamblock Salaah kwa mbele, dereva akashuka akaanza kumchimba biti mdogo wake GSM sasa, wewe unamjua mwenye hii gari?! Unajua mimi namwendesha nani? Salaah akajibu kama unataka kunifanya lolote we fanya Ila mimi nimekwambia tu angalia barabarani. Basi dereva akachimba biti zaidi pale then akaondoka.
Sasa kuna kisehemu wanaendaga kula mishkaki baada ya mazoezi huyo Salaah baada ya kupata huo msala akaenda kula hapo mishkaki, hajakaa dakika mbili Bashite huyo kaingia hapo Kwenye hiko kisehemu, straight moja kwa moja kamfata Salaah, We dogo wewe, jiangalie sana unavyoishi mjini. Unanijua mimi nani? Mi naweza kukufanya chochote na huna chankunifanya. Mimi naweza kukupoteza muda wowote. Aisee mbele za watu Bashite anatoa vitisho.
Yule Salaah akapandisha mashetani ya kiarabu, weee akaruka kama swala hapo alipokuwa amekaa akamwambia Bashite, usinitishie maisha kama unataka kuniua niue, ila kukuogopa tena kama kipindi kile sifanyi tena, wewe amua unachotaka. Weeeee, Bashite nae akajifanya anapadisha wakataka kushikana mashati ndo watu kuwaamua.
Yule Salaah kafungua kesi polisi ya kutishiwa kuuawa ila polisi kimya maana mshtakiwa ni Bashte, wanaanzaje kum detain mwenezi wa CCM?
Tena hatumii tenga,yeye anatumia cret la mikate kuuzia madafu Ikulu!!mwandishi ni muuza madafu wa ikulu
Wewe punga mleta mada na ni mwana CCMSiyo sahihi, CDM acheni kuchafua image ya mwenezi wetu
Anajaribu kupunguza lile sambwanda.....Bashite nae akawa anafanya mazoezi ya mguu yani kama ana powerwalk huku ndinga kubwa ya CCM inamfata nyuma.....
Daaah, Huyu kenge akiwa mikoani anajifanya kupanda punda kizalendo
Pesa za watu wengi mimi huwa zisiziamini. Mara utasikia anauza mkaa mweupebila shaka hii haina tangawizi afu majani hujayachuja vizuri leo.
uko sahihi kabsia.Pesa za watu wengi mimi huwa zisiziamini. Mara utasikia anauza mkaa mweupe