Paul Makonda: Ahsante Mungu katikati ya machozi umenipa mapacha wawili!

Paul Makonda: Ahsante Mungu katikati ya machozi umenipa mapacha wawili!

Status
Not open for further replies.
Basi kama anaamini Mungu why akaenda kwenye Sayansi ?Angeomba tu na asipandikize. Ila sasa hasemi kabisa kama kapandikiza. Si aseme tu ukweli ?
Huyo anaomba hadi analia,(any way ana mengi anaombea)
Hope anafatilia kuhakikisha mbegu ni yake hawachanganyi.Maana kuna wanaume wengi ni donors wa mbegu.
 
Hao watoto wa kiume amwite John na wa kike amwite Samia huenda wakamkumbuka tena kwenye teuzi endapo wakishinda.?!)
 
Jamaa kajilimbikizia mali lakini hana furaha.

Anazurula na bible makanisani, anatafuta attention lakini wapi.

Anapitia kipindi kigumu.

Magufuli kamtumiaa mpaka kaharibikiwa halafu naona kama anataka kumtosa.
Hakika haiko amani ndani ya watendao maovu

Isaya 48:22 SRUV
Hapana amani kwa waovu, asema BWANA.
 
Asante pesa,maana asingekuwa na hela ya kupandikiza watoto angewasikia tu.
Dah inaonekana una chuki ya kikuda.hayo yote ya nini ? ,ata Kama kafanya inakuathiri vp mpaka useme hayo yote kwani ni wa kwanza kufanya.
 
Pongezi nyingi ziiendee familia ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa dsm kwa kubarikiwa kukaribisha wageni wengine....Mungu awalinde na kuwapa afya njema.
 
Sasa watafanana kweli au mbegu wamebinya za bashite?
 
Pamoja kwamba simkubali Makonda hata chembe moja, bado mama na watoto wanastahili hongera zao na tunawatakia kila la kheri Mungu awalinde na kuwawekea mkono wake wawe n aafya njema. Hivyo hivyo mama ya watoto tunakupongeza hasa kwa roho yako ya ujasiri wa kuzaa na Makonda, unahitaji moyo Sana nawe umeweza. Malezi Mema kwa watoto Ila wasiige Tabia ya baba yao
 
Gwaji boy unasemaje maana ulisema umemfuta katika uso wa dunia. Haya mwenzio ana double. Kuna kanisa na kansa.
 
Hongera kwa science ya kupandikiza watoto, na pesa pia kuwepo, vinginevyo watoto angeishia Kuwasikia kwenye radio na kuwaona kweny TV.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom