Paul Makonda aingia Arusha, akabidhiwa ofisi na kuzungumza na Wananchi

Sijui atachagua kuanza na kazi gani

- Kushindana na Lema ili kumsaidia Gambo au

- Kuhangaikia barabara zilizoharibiwa na mvua huko Arusha.
 
Amemwaga vipaumbele majazi wastaafu na walio kazini wasalimishe silaha zao tunataka watalii masaa 24 biashara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…