Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Ukiambiwa utaje uovu wa Makonda na ushahidi utaruka ruka kama popcorn 🍿 kwenye frypan
Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
 
Utampatiaje nafasi muhimu mtu ambaye unatembea nae? Huyo bwana ataendelea kumla uroda na ku-manupulate. Essentially, ataendesha nchi yeye.
Duu Kuna sinema ya kimalesi naifuatilia
Naona kama Kuna ukweli
Raisi Oscar na yule mama wa genge la wauza madawa!!!

Hakuna Siri Chini ya anga ladunia
Wakati mwalimu tusubiri kipindi Cha kampeni ya uraisi 2025 kama tuliambiwa mgombea kajinyea sijui itakuwaje

Mungu funika uchafu huu
 
yoga Kimya sana siku hizi, Rejea JF uendelee kuleta ziile simulizi za codes
 
.
 
Mkuu kumbe ushahidi unao kafungue kesi ssa siyo kuwa keyboard worrie hapa unatusumbua BINGO HIYO SSA KALAMBE MKUUU
 
Kumbe unao ushahidi na umeona akifanya haya unakaa nao,vipi unafikiri Mo na GSM wanamuogopa Makonda usilolijua ni kama usiku wa Giza.
 
Makonda anachukiwa kwenye mitandao, wananchi wanampenda, kwenye mitandao kumejaa wivu na husda
 
Na hili ni miongoni mwa sababu za kukipasua chama cha CCM. Makonda japo alikuwa na mazuri yake machache lakini aliharibu pakubwa mno. Imagine Nape Vs Makonda, Makonda vs Bunge 🥱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…