Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Ukiambiwa utaje uovu wa Makonda na ushahidi utaruka ruka kama popcorn 🍿 kwenye frypan
Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
 
Utampatiaje nafasi muhimu mtu ambaye unatembea nae? Huyo bwana ataendelea kumla uroda na ku-manupulate. Essentially, ataendesha nchi yeye.
Duu Kuna sinema ya kimalesi naifuatilia
Naona kama Kuna ukweli
Raisi Oscar na yule mama wa genge la wauza madawa!!!

Hakuna Siri Chini ya anga ladunia
Wakati mwalimu tusubiri kipindi Cha kampeni ya uraisi 2025 kama tuliambiwa mgombea kajinyea sijui itakuwaje

Mungu funika uchafu huu
 
Kwasasa samia anajalibu ana maadui hadi kwa msoga gang ambao mwanzoni walikuwa kitu kimoja kuwanyanyasa sukuma gang ...hivyo anacho kifanya samia ni kujaribu kutafuta marafiki wapya kutoka sukuma gang ili kuzuia nguvu ya msoga gang 2025 maana wamepoteza kuaminiana hivyo anatafuta baadhi ya maadui wa msoga gang na kujaribu kuwa weka upande wake wa samia gang ili kuvunja nguvu ya msoga wasije wakampiga 2025...na rostam azizi ndiye anaye tumika kupanga safu mpya ya mama lengo ni kupunguza nguvu ya msoga gang maana mama awaaminiani sana na msoga kwa sasa tena waarabu walio nyuma ya samia gang wametilia mkazo sana jambo hili.kwa sababu waarabu wate wa ndani na nje wapo kwenye Samia gang.
yoga Kimya sana siku hizi, Rejea JF uendelee kuleta ziile simulizi za codes
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
.
 
Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
Mkuu kumbe ushahidi unao kafungue kesi ssa siyo kuwa keyboard worrie hapa unatusumbua BINGO HIYO SSA KALAMBE MKUUU
 
Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
Kumbe unao ushahidi na umeona akifanya haya unakaa nao,vipi unafikiri Mo na GSM wanamuogopa Makonda usilolijua ni kama usiku wa Giza.
 
Makonda anachukiwa kwenye mitandao, wananchi wanampenda, kwenye mitandao kumejaa wivu na husda
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Na hili ni miongoni mwa sababu za kukipasua chama cha CCM. Makonda japo alikuwa na mazuri yake machache lakini aliharibu pakubwa mno. Imagine Nape Vs Makonda, Makonda vs Bunge 🥱
 
Back
Top Bottom