Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheeKwa kawaida Wasukuma huwa hawana Roho za kikatili sijui huyu kaitoa wapi?
HahahaMakonda sio tume ya uchaguzi, Makonda ni CCM wale wale sifahamu kwanini watu wana react kana kwamba hawawaelewi CCM. Nani mzuri huko CCM? Wote hovyo kwanini muwashangae kumleta mbovu mwenzao?
Dada alianza enzi za Jpm.....kashajichokeaDada siku hizi naona umekata tamaa sana!
Tofauti ni extremism levelCCM ni ileile hakuna cha Samia Wala Magufuli
Mpaka atakapochinjwa mama yako, ndiyo utapata jibu la swali lako. NyambafKwahiyo claudstv kuna mtu alichinjwa?
Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:Ukiambiwa utaje uovu wa Makonda na ushahidi utaruka ruka kama popcorn 🍿 kwenye frypan
Duu Kuna sinema ya kimalesi naifuatiliaUtampatiaje nafasi muhimu mtu ambaye unatembea nae? Huyo bwana ataendelea kumla uroda na ku-manupulate. Essentially, ataendesha nchi yeye.
yoga Kimya sana siku hizi, Rejea JF uendelee kuleta ziile simulizi za codesKwasasa samia anajalibu ana maadui hadi kwa msoga gang ambao mwanzoni walikuwa kitu kimoja kuwanyanyasa sukuma gang ...hivyo anacho kifanya samia ni kujaribu kutafuta marafiki wapya kutoka sukuma gang ili kuzuia nguvu ya msoga gang 2025 maana wamepoteza kuaminiana hivyo anatafuta baadhi ya maadui wa msoga gang na kujaribu kuwa weka upande wake wa samia gang ili kuvunja nguvu ya msoga wasije wakampiga 2025...na rostam azizi ndiye anaye tumika kupanga safu mpya ya mama lengo ni kupunguza nguvu ya msoga gang maana mama awaaminiani sana na msoga kwa sasa tena waarabu walio nyuma ya samia gang wametilia mkazo sana jambo hili.kwa sababu waarabu wate wa ndani na nje wapo kwenye Samia gang.
Roma atapatikana kabla ya jumapili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Je Kuna ushaihid ya kuhusika kwake kwenye mauaji ya mtu yoyote au chuki kwake imetewala
.Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Mkuu kumbe ushahidi unao kafungue kesi ssa siyo kuwa keyboard worrie hapa unatusumbua BINGO HIYO SSA KALAMBE MKUUUDaud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
Kumbe unao ushahidi na umeona akifanya haya unakaa nao,vipi unafikiri Mo na GSM wanamuogopa Makonda usilolijua ni kama usiku wa Giza.Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
Ulitaka uchinjwe wewe Clouds TV ili Watanzania waamini kuwa kuna uovu umefanyika?Kwahiyo claudstv kuna mtu alichinjwa?
Makonda anachukiwa kwenye mitandao, wananchi wanampenda, kwenye mitandao kumejaa wivu na husda
Na hili ni miongoni mwa sababu za kukipasua chama cha CCM. Makonda japo alikuwa na mazuri yake machache lakini aliharibu pakubwa mno. Imagine Nape Vs Makonda, Makonda vs Bunge 🥱Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Anatishia!? What a joke!!? Kama kuna mtu a naamini hii kitu basi atakuwa haijui vizuri Tanzania.Hii ndio Taarifa ya Gazeti la MwanaHalisi kama ilivyowekwa ukurasa wa mbele .
View attachment 2793283