Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Je Kuna ushaihid ya kuhusika kwake kwenye mauaji ya mtu yoyote au chuki kwake imetewala
Soma taarifa hii hapa ya US Secretary of State, Michael R. Pompeo 👇👇👇 kuhusu ushiriki wa Paul Makonda "kudhulumu uhai wa watu" ambayo tafsiri yake rahisi ni kushiriki kuua watu..
===================================================
Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of Paul Christian Makonda of Tanzania
PRESS STATEMENT

MICHAEL R. POMPEO, SECRETARY OF STATE

JANUARY 31, 2020

The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam. In that role, he has also been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals.

The United States remains deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in Tanzania. This includes actions taken by the government that curtail freedom of expression, freedom of association, and right of peaceful assembly; target marginalized people and the political opposition; and jeopardize life.

Section 7031(c) provides that, in cases where the Secretary of State has credible information that foreign officials have been involved in significant corruption or a gross violation of human rights, those individuals and their immediate family members are ineligible for entry into the United States. The law also requires the Secretary of State to publicly or privately designate such officials and their immediate family members. In addition to the public designation of Paul Christian Makonda, the Department is also publicly designating his spouse, Mary Felix Massenge.

These actions against Paul Christian Makonda underscore our concern with human rights violations and abuses in Tanzania, as well as our support for accountability for those who engage in such violations and abuses. We call on the Tanzanian government to respect human rights and fundamental freedoms, including the freedom of expression, association, and the right of peaceful assembly.

NB: Bila shaka unaweza kusoma na kuelewa lugha ya Malkia wa Uingereza. Hayo maneno yaliyo kwenye bold ink i.e "flagrant denial of the right to life" ktk taarifa hiyo unaelewa maana yake?

In case kama hujui tafsiri yake rahisi ni kuwa, huyu mtu (Paul Christian Makonda)ni mshiriki wa kudhulumu uhai wa watu ambapo maana yake rahisi na ya moja kwa moja ni kuwa Paul Makonda ni mshiriki wa mauji ya watu!!

Swali ambalo unaweza kumsaidia kumjibia ni; Je, amewahi kuzikana tuhuma hizi na ikibidi awaombe Marekani ushahidi wa kuthibitisha tuhuma zao?

Lakini akumbuke tu kuwa hawa jamaa hawabahatishi. Kama statement inavyoeleza kuwa "wana credible information" juu ya hiki wanachokitolea taarifa..!

Kama hivi ndivyo ilivyo, Je, Rais Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa na wenzake hawakuona haya?

Na Je, ina maana CCM haina mtu mwingine safi na mwadilifu kidogo kushika nafasi hiyo?
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Makonda ataipasua CHADEMA. Ujio wa Makonda umefanya Mbowe na wahuni wenzake wafute mikutano yao ya unafiki. Mabeberu waliokuwa wanawapa pesa kupinga mkataba wa bandari wameacha baada ya mkataba kusainiwa. Mbowe na genge lake wamebaki kuhaya haya tu
Dah!!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sijarukia, mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu.
Nafahamu fika, kuwa falasafa ya R 4 za mama Samia ni falsafa ya Kiislam.

Uliza ipi inayokupa shida wewe tukupe ushahidi na jinsi ilivyo njema kutokana na mafundisho ya Kiislam.
Kama hutaki kuzielewa kwa faid yako, hulazimishwi kuzielewa.

Hakuna kukirihishana kwenye dini (La ikrah fi din).
Tutolee udini wako malaire wewe

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Ukiambiwa utaje uovu wa Makonda na ushahidi utaruka ruka kama popcorn 🍿 kwenye frypan
 
Bila shaka wewe ndiye hujui na huna taarifa za kutosha!!

Unaikumbuka hii👇👇👇👇??

Lini serikali wakati huo Mwenyekiti wenu wa CCM Taifa Bi Samia Suluhu Hassan akiwa VP iliwahi kukana tuhuma hizi za mtu wao?

Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of Paul Christian Makonda of Tanzania

PRESS STATEMENT

MICHAEL R. POMPEO, SECRETARY OF STATE

JANUARY 31, 2020

The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam. In that role, he has also been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals.

The United States remains deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in Tanzania. This includes actions taken by the government that curtail freedom of expression, freedom of association, and right of peaceful assembly; target marginalized people and the political opposition; and jeopardize life.

Section 7031(c) provides that, in cases where the Secretary of State has credible information that foreign officials have been involved in significant corruption or a gross violation of human rights, those individuals and their immediate family members are ineligible for entry into the United States. The law also requires the Secretary of State to publicly or privately designate such officials and their immediate family members. In addition to the public designation of Paul Christian Makonda, the Department is also publicly designating his spouse, Mary Felix Massenge.

These actions against Paul Christian Makonda underscore our concern with human rights violations and abuses in Tanzania, as well as our support for accountability for those who engage in such violations and abuses. We call on the Tanzanian government to respect human rights and fundamental freedoms, including the freedom of expression, association, and the right of peaceful assembly.
 
Bila shaka wewe ndiye hujui na huna taarifa za kutosha!!

Unaikumbuka hii👇👇👇👇??

Lini serikali wakati huo Mwenyekiti wenu wa CCM Taifa Bi Samia Suluhu Hassan akiwa VP iliwahi kukana tuhuma hizi za mtu wao?

Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of Paul Christian Makonda of Tanzania

PRESS STATEMENT

MICHAEL R. POMPEO, SECRETARY OF STATE

JANUARY 31, 2020

The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam. In that role, he has also been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals.

The United States remains deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in Tanzania. This includes actions taken by the government that curtail freedom of expression, freedom of association, and right of peaceful assembly; target marginalized people and the political opposition; and jeopardize life.

Section 7031(c) provides that, in cases where the Secretary of State has credible information that foreign officials have been involved in significant corruption or a gross violation of human rights, those individuals and their immediate family members are ineligible for entry into the United States. The law also requires the Secretary of State to publicly or privately designate such officials and their immediate family members. In addition to the public designation of Paul Christian Makonda, the Department is also publicly designating his spouse, Mary Felix Massenge.

These actions against Paul Christian Makonda underscore our concern with human rights violations and abuses in Tanzania, as well as our support for accountability for those who engage in such violations and abuses. We call on the Tanzanian government to respect human rights and fundamental freedoms, including the freedom of expression, association, and the right of peaceful assembly.
Huu ndio ushahidi ? Uliona wapi mtu anayejamata mashoga wakina delicious akapendwa na marekani ?leta ushahidi sio huu wa kukamata machoko
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Utampatiaje nafasi muhimu mtu ambaye unatembea nae? Huyo bwana ataendelea kumla uroda na ku-manupulate. Essentially, ataendesha nchi yeye.
 
Makonda sio tume ya uchaguzi, Makonda ni CCM wale wale sifahamu kwanini watu wana react kana kwamba hawawaelewi CCM. Nani mzuri huko CCM? Wote hovyo kwanini muwashangae kumleta mbovu mwenzao?
 
Back
Top Bottom