Pre GE2025 Paul Makonda akutana na Vijana zaidi ya 223 maarufu kama wadudu ofisini kwake na kuwataka kuwa walinzi na mabalozi wa kutangaza mazuri ya Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu ile nafasi ya mwenezi ilimfaa zaidi. Ni bingwa wa propaganda.

Haipendezi RC anafanya mambo ya ajabu ajabu kama haya.
 
Samia will be accountable for any atrocities that will be committed by these thugs
 
Lucas unajua kuandika vizuri, unafaa kua muandishi wa habari
Asante sana First lady.uzuri kwa sasa hata first lady mtakuwa mnalipwa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa Bungeni. Ndio maana nilisema haina haja ya wewe kusomea urefarii maana utakuwa na majukumu mengi na mazito kwangu.
 
Huyu ile nafasi ya mwenezi ilimfaa zaidi. Ni bingwa wa propaganda.

Haipendezi RC anafanya mambo ya ajabu ajabu kama haya.
Unaitaje mambo ya ajabu wakati unaona anawatengenezea na kuwaonyesha vijana fursa za kiuchumi ndani ya mkoa wa Arusha. Hujuwi vijana ni kundi kubwa sana ambalo kwa kila sera ya fursa inayotungwa na kupitishwa inapaswa kuligusa kundi hili? Ukilitenga kundi la vijana na kulitelekeza ni sawa na kukaa juu ya Bomu ambapo lazima ulipuliwe muda wowote ule na kusambaratishwa kama moshi wa mabua.
 
CCM CCM CCM
 
MAKONDA SIO MWAMBA NI MUUAJI
 
Upumbavu tu
 
Sinemà za Makonda siyo za kuwa na serious, huyo ana matatizo kichwani.
Zikiachwa ziwe kawaida ndio hizi hizi zitatumika kudhuru na kuminya uhuru wa watu, historia ya Makonda na kuhusishwa kwawek na matukio mbalimbali unaijua nadhani, Marekani huwa hawapigi ban mtu kwa kukurupuka tu!
 
Uhuni Mtupu Nchi Inajengewa Hofu Kwa Mambo Ya Kijinga Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…