Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa MkuuKuna mshua niliwahi kumsoma anaitwa Prof. John henrick Clarke vilevile kuna siku niliwahi kuhudhuria mdahalo mmoja alikuwepo Prof. P.L.O Lumumba wa Kenya oyaaa sisi bado sana.
Yani unaweza jikuta mtu ukasema sisi kama tuliumbwa tuishi hivi hivi tu.
Una upeo mdogo sana kichwani mwakoWakuu,
Hawa wadudu wameapishwa kuwa walinzi na kupambana watu kwa mafunzo gani? Kwa sifa gani walizonazo mpaka Makonda ameamua kuwaapisha? Huku "KUPAMBANA" na kila mtu "AKAYECHAFUA" heshima na thamani ya Mkoa wa Arusha inamaana tayari wameshapewa tiketi ya kushika silaha na kujeruhi watu wakitoa tu sababu fulani amechafua heshima ya mkoa wa Arusha.
Na HESHIMA ndio ipi? Mtu akikosoa uwajibikaji wa viongozi Arusha? Au wanaotoa taarifa za Makonda kulala hoteli ya Gran Melia wakati kuna malazi yake yeye kama Mkuu wa Mkoa?
Hili halipaswi kufumbiwa macho, ukizangatia tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.
Walianza kwenda kufanya siasa kwenye makanisa na misikiti, wakaenda kuanza kufanya ukarabati wa mchongo, sasa wanaanza kuapisha vikundi na kuviita vya "Ulinzi"! Na hakuna kiongozi wowote anayetetea hili?
Wakuu mnaonaje hili?
WATATUMIWA NA MHUSIKA KUUMIZA WATUWakuu,

Umesema kweli kabisa!Siasa + ujinga ni janga kwa nchi hii
Kabisa, kikundi cha wahuni kinatengenezwaWATATUMIWA NA MHUSIKA KUUMIZA WATU
Go Makonda go....Wakuu,