Pre GE2025 Paul Makonda akutana na Vijana zaidi ya 223 maarufu kama wadudu ofisini kwake na kuwataka kuwa walinzi na mabalozi wa kutangaza mazuri ya Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao wadudu naona watasaidia uchaguzi maana sio Kwa kupewa umuhimu huko
 
CHADEMA walitaka kuwatumia ili Arusha isitawalike. Sasa mwamba kapindua meza!!! Tafuteni pa kumficha Lema
 
Hako kajamaa kifupi wameamua kukasimamisha kabisa kionekane
 
Wakivunja kiapo watakuwa accountable wapi? Hii inawapa utofauti na raia wengine waTz ambao hatujaapishwa? Kama hawana utofauti na sisi ambao si wadudu, point ya kuwaapisha ni ipi?
 

Hiyo ndiyo akili kubwa anayoisifia Kitila .... Tanzania tuna kazi kweli kweli!!
 
Wadudu?
 
Hapo makonda kawaweza kabisa wana chuga. This time around kaja vizuri🤣🤣🤣
 
Mungu tuokoe Tanzania.Taifa lipo kwenye shida kubwa sana.Shida kubwa ya Taifa hili inaanzia kwenye Teuzi za viongozi wake.Wote wamefilisika kifikra.
 
Mama kumtema Lukuvi na kuwachukuwa wahuni kama Makonda nimeshapoteza imani naye hayuko serious.

Mtu serious huwezi kumkabidhi hazina ya nchi Mwigulu Nchemba na wizara ya umeme unampa January Makamba.
Mwiguli mtoto wa kikwete aliyelelewa ujombani.....usishangae sana kuwa hapo alipo.
 
Natamani kujua kwanza huwa wana kazi gani?
Maana kwa maguo hayo na maviatu sidhani hata kazi wataweza

Wa Arusha tuamboeni huwa wanafanya nini huko kimaisha?
 
Huwa napenda kusema simpendi makonda. Ila wengi mnaomlalamikia hamna grounds za kwenye maelezo yenu sasa ww umeeandika nn? Wapi kasema anawapa silaha. Hata ulinzi shirikishi hupewa silaha na kuruhusiwa kutembea nazo. Hawa wamepewa chchte au kuambiwa watapewa. Such a huge shit umeeandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…