Pre GE2025 Paul Makonda akutana na Vijana zaidi ya 223 maarufu kama wadudu ofisini kwake na kuwataka kuwa walinzi na mabalozi wa kutangaza mazuri ya Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tunashukuru, Sasa TUNAOMBA mheshimiwa mkuu wa mkoa baada ya kukutana na TAASIS zote pamoja na makundi mbalimbali ya watu aanze Sasa kusikiliza vilio vyetu, watu tuna machungu moyoni na ni yeye pekee mwenye uwezo wa kutufuta machozi na kututua mizigo yetu ya uchungu... Baba Anza kukutana na wananchi
 
Buyo alishawahi kuwa mshauri mkuu wa simba hakuna analofanya hapo.
 
Nafikiri atakuwa anaijua Ile mbinu kwamba ukitaka usiibiwe mpe kazi ya ulinzi jambazi
 
Usishangae nyuma ya hao watakuwepo polisi na UWT wakiwa na silaha kushambulia wakosoaji wa Makonda mwenyewe na mama yake Mzanzibari Samia Suluhu Hassan..

Huyu jamaa (Makonda) kama alivyokuwa RC DSM na kutumia madaraka yake vibaya (abuse of power), hata hapo Arusha anakwenda kwenye uelekeo huohuo tena na dalili na ishara ya kwanza ni hiyo "wadudu.."

Kaeni chonjo wanamageuzi wa Arusha. Hakuna kumlazia damu. Pambaneni naye pamoja na hao wadudu wake..

Tundu Lissu anakuja hapo kuongoza maandamano na kulisemea hili. Siku hiyo patachimbika..!
 
Wakikamatwa mnalalamika hawa vijana wanaonewa, wakideal nao taratibu kama hivi mnalalamika.

Niseme tu watu weusi ni wajinga, wanafiki na wasiojua wanataka nini.
 

Haya ni maajabu 7 ya Dunia
 
Dunia inapiga hatua mbele mtu anakuja na Mambo ya Wadudu ...haya ni matokeo ya UMASKINI

Wekezeni kwenye ELIMU
Kuna mshua niliwahi kumsoma anaitwa Prof. John henrick Clarke vilevile kuna siku niliwahi kuhudhuria mdahalo mmoja alikuwepo Prof. P.L.O Lumumba wa Kenya oyaaa sisi bado sana.

Yani unaweza jikuta mtu ukasema sisi kama tuliumbwa tuishi hivi hivi tu.
 
Sie ndio wadudu nigani mzee
Kwanza hapa tushakula yeee yente babuu
Na kichwa hairlewi wala nini
Afu mbona kama hatukusomi mzee😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…