Pre GE2025 Paul Makonda akutana na Vijana zaidi ya 223 maarufu kama wadudu ofisini kwake na kuwataka kuwa walinzi na mabalozi wa kutangaza mazuri ya Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo ni wivu baada ya kuona wadudu a.k.a viwaviwavi wanazidi kupata airtime na publicity.
 
Kuna mshua niliwahi kumsoma anaitwa Prof. John henrick Clarke vilevile kuna siku niliwahi kuhudhuria mdahalo mmoja alikuwepo Prof. P.L.O Lumumba wa Kenya oyaaa sisi bado sana.

Yani unaweza jikuta mtu ukasema sisi kama tuliumbwa tuishi hivi hivi tu.
Kabisa Mkuu
 
Una upeo mdogo sana kichwani mwako
 
WATATUMIWA NA MHUSIKA KUUMIZA WATU
 
Go Makonda go....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…