Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

Listing ya viongozi was dini makanjanja
1. Pengo
2. Askofu wa TEC anaitwa Nyamwisobgo
3.Gamanya
4 shekhe wa Dar
5. Askofu Malasusa
6. Ongezea

Hawa hawataiona pepo,
Hawa mbona wanajulikana wazi. tena wana kadi kabisa na vikao vya chama hushiriki bila kuwepo (Absence with apology)
 
Huyu Paul Makonda utamkuta asubuhi anasoma magazeti kwenye stations za redio, mara umkute kijiweni mikocheni akipiga story na waosha magari! Hivi huyu ukuu wa mkoa anafanyaga nini?

Utamkuta kwenye birthdays za wasanii mchana kweupe muda wa kazi. Sasa naona ameamua kujipa kazi ya uwaziri asiye na wizara maalum. Mara aingilie kazi za wizara ya afya, sasa leo kajipa cheo cha wizara tatu kwa mpigo yaani Mawasiliano na ujenzi, Nishati na afya... Huyu ndiye Makonda anayejua kuichezea akili ya Magufuli.

Hivi na maaskofu nao wamekaa kabisa wakimsikiliza msanii huyu. Nashukuru Mungu kuanzia jana nilijitoa kwa hawa maaskofu "UCHWARA KABISA" Kuna mmoja huyo nimemsoma eti alikuwa anawaza baada ya Magufuli aje nani na eti ameshawapata kina Makonda... Dah haya maaskofu!
 
kwakuwa hawako Bavicha??

Nchi ni ya wote na ni nchi huru na ya kidemokrasia.
Listing ya viongozi was dini makanjanja
1. Pengo
2. Askofu wa TEC anaitwa Nyamwisobgo
3.Gamanya
4 shekhe wa Dar
5. Askofu Malasusa
6. Ongezea

Hawa hawataiona pepo,
 
Hivi kwamba kuna maendeleo ni mpaka mtu aambiwe? Si atashuhudia yeye mwenyewe? Ni ujinga tu wa wasaka tonge
Ndicho ambacho nashangaa, wanatumia nguvu kubwa mnooo kujionesha kwa jamii, utadhani nchi nzima ina matahira pekee dah,,, enzi za jakaya upumbavu huu haukuwepo
 
Kwani nan anapinga maendeleo?au wanamaanisha tuunge mkono juhudi za kusifiana kizwazwa?
 
Hivi hayo maazimio ya viongozi wa dini in kwa niaba yao au ya waumini?
Maana waumini hawakubaliani na uongo na uzandiki imekuwaje Leo viongozi ndio wapenda uzandiki?
 
Listing ya viongozi was dini makanjanja
1. Pengo
2. Askofu wa TEC anaitwa Nyamwisobgo
3.Gamanya
4 shekhe wa Dar
5. Askofu Malasusa
6. Ongezea

Hawa hawataiona pepo,

Mzee wa upako, lakini bado wote hao hawajafanikiwa kututoa kwenye ukweli tunaoujua.
 
kwakuwa hawako Bavicha??

Nchi ni ya wote na ni nchi huru na ya kidemokrasia.

Watu walishaamka zamani sana, wanaenda makanisani kwa sababu ya imani zao, lakini hao viongozi walawiti na wauza unga wanaojipendekeza ili uhuni wao usiwekwe hadharani waumini wanawadharau.
 
Mbona huwaonei huruma wale mashekhe wa uamsho walioko kule rumande hebu mwmbie huyo unaemsifia awaangalie wale mashekhe
 
Kiukweli hakuna Rais aliyewahi kufanya mambo makubwa hivi katika kipindi kifupi. Yawezekana wapo walioumizwa katika kuyafikia haya but kiukweli mambo mengi yaliyolalamikiwa rais huyu ameweza kuyarekebisha,kumi bora kwangu no;.
1. Afya - vituo vya afya 300+ na hospitality kadhaa,bima ya afya kwa kilamtu nk.
2. Elimu - elimu bure na kukarabati shule kongwe,mikopo vyuoni kutoleta tashwishwi kubwa nk
3. Mawasiliano - makampuni yanalipa kodi inavyostahili,airtel wanatoa gawio,rada Kadhaa nk.
4. Uchukuzi - Reli zinajengwa na kufufuliwa,ndege na viwanja vyake vinajengwa na kupanuliwa,madaraja,vivuko,meli,barabara zinajengwa,flyover nk
5. Maji na umeme vinasimamiwa kikamilifu na kusambazwa vyema.
6. Biashara ndogondogo bila karaa na biashara kubwa kodi stahili inalipwa hamna janjajanja.
7. Mwananchi wa kawaida anasikilizwa,anasaidiwa na watumishi wa umma wanawajibika kwa wananchi ipasavyo.
8. Wizi,urasimu na ubadhilifu umedhibitiwa kwa kiwango kikubwa.
9. Uwiano wa maendeleo,kwasasa nchi inajengwa bila ubaguzi hakuna sehemu inapendelewa na nyingine kuachwa.
10. Rais amekalia kiti vyema,ofisi inaheshimiwa hata na mataifa tapeli,anashiriki nyumba za ibada,mkewe hafanyi biashara za ujanja ujanja Bali anatulia kumsapoti mumewe.
Hatuna mgombea angeyeweza kufanya haya tuache ushabiki wa kijinga,kwenye ukweli tuweke mbele ukweli
 
Ganda la mua la jana...
Usicho kithamini wewe, wenzako wanakitafuta.


Ila pia kiukweli watu humu wana wivu mpaka basi...

P
 
mnaamini kila mtu lazima aitukane serikali.
Hapo ndio ujinga ulipo....[emoji3][emoji3]

RC wameitendea haki demokrasia..

Kale kadhehebu ka kichaga kaendelee kuiponda serikali[emoji3][emoji3]
Watu walishaamka zamani sana, wanaenda makanisani kwa sababu ya imani zao, lakini hao viongozi walawiti na wauza unga wanaojipendekeza ili uhuni wao usiwekwe hadharani waumini wanawadharau.
 
huyu alhad.kweli tumekuwa wote kule kisiwani.ila hapa namkataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…