johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Kwani Pengo ndio hapendi maendeleo?!Anaonyesha picha za barabara zilizojengwa.
Nimejikuta nawaonea huruma viongozi wangu wa dini wameacha kazi zao wanaongelea barabara.
Pengo si angelala usingizi nyumbani.
Dr Malasusa wa KKKT, askofu Sosthenes wa Anglican, Kardinali Pengo wa Katotiki na shehe mkuu wa waislamu wote wa mkoa wa Dsm wamehudhuria mkutano huu wa kipekee!
Jambo zuri anachofanya makonda ni moja ya political strategic kueleza kitu gani Magufuli anachofanya ili hata wasiojua wapate kujua na iwe rahisi kupata mtaji wa kisiasa hiki ndio inawashindaga vyama vya upinzani. Mwaka Jana upinzani walishinda halmashauri nyingi kuliko kipindi chote lakini wameshindwa kuwaeleza wapiga kura wao Nini wamefanya tangu wachukue halmashauri hizo kiufupi wapiga kura wao hawajui Nini wanafanya alafu wakishindwa uchaguzi wanaanza kulalamika eti wanaibiwa kura.
Mungu gani? Atakua a foolish and a stupid god, kwanza Mungu hayupo. Ni mataahira tu wanaweza kuogopa kitu ambacho hakipo.God Is Not Stupid
God will burn this people for their mockery over him....
Wait and see!!
Cheza na vyote sio nguvu za Mungu
Zitawaangamiza na kuwaponda vipande vipande na halitosalia jiwe juu ya jiwe
Na mseme Amina!!!...
Kutathimini maendeleo yaliyopatikana ndani ya miaka minne!Lengo la mkutano ni nin?
Ndio Bakwata!Mkuu WAISLAM wote ndio kitu gani?
vipi wa Budha yupo?
vipi wa dini za kienyeji?
Correction.Dr Malasusa wa KKKT, askofu Sosthenes wa Anglican, Kardinali Pengo wa Katotiki na shehe mkuu wa waislamu wote wa mkoa wa Dsm wamehudhuria mkutano huu wa kipekee!
Tupe na kirefu cha Bakwata ustaadh!Correction.
Ni Sheikh Mkuu wa Bakwata DSM
Kukariri ndio U-SMART?Huyu jama yuko smart hatari, nashangaa sana wanaotukana kila leo eti hana vyeti na anabebwa, ni wachache sana wenye uwezo wa kufanya anayofanya, anaelezea vitu ambavyo viko kichwani na anavielewa na anafatilia.
Correction 2015.Mwaka jana?
uchaguzi gani huo kijana/
by the way kama ni kwlei mmefanya yote hayo, manogopa nini sasa uchaguzi?
hivi hao unaosema wameshindwa sindio wamekatazwa hata kufanya vikao vya ndani ?
Kwanini useme "Kama ni kweli mmefanya yote hayo,mnaogopa Nini sasa uchaguzi" me sio mwanasiasa Wala Sina itikadi ya chama chochote Cha siasa huna sababu yakuongea hayo maneno.Hayo ni maoni yangu tu.Mwaka jana?
uchaguzi gani huo kijana/
by the way kama ni kwlei mmefanya yote hayo, manogopa nini sasa uchaguzi?
hivi hao unaosema wameshindwa sindio wamekatazwa hata kufanya vikao vya ndani ?
Wewe unaweza kukariri!Kukariri ndio U-SMART?
Kwani Pengo ndio hapendi maendeleo?!
afanye hii mikutano ka mwisho mwisho maana siku zinakwenda kwa kasi kubwa!Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Karibu!
Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo.
Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Dr Malasusa wa KKKT, askofu Sosthenes wa Anglican, Kardinali Pengo wa Katotiki na shehe mkuu wa waislamu wote wa mkoa wa Dsm wamehudhuria mkutano huu wa kipekee!