Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

Nasubiri kuhusu Ajira aseme kwanini serikali haitoi kazi?
 
So hoja yako nn
Hoja yako iliyozungumzia waislamu na machinjio hayo hayana msingi. Miaka 50 iliyopita tulikuwa na kiwanda pale kawe ambapo process zilikuwa hizo hizo na nyama toka kiwanda hicho zilikuwa zinauzwa dunia nzima.
 
Jamaa amekuwa msemaji ma-wizara mbalimbali nchini Tanzania.
Kweli ile nafasi ya U-makamu wa Rais wa private anaitendea kazi sawa sawa.
 
Sasa unatambua vp imani kama unachinja wa machine?

Vp machine itafuata taratibu za dini?
Vyovyote iwavyo kikubwa ichinjwe, lazima imani za Watu zitazingatiwa

Sidhani km Viongozi hawatambui hilo
 
Mkuu nadhan huna uelewa wowote katika ulichokiandika rud kasome din vzr . nyiny ndo wale mnaokataa hata kilichochinjwa na mkristo kwasababu hujui hata din yako ila unaifata kwa mkumbo rudi darasan usome na uufahamu uislamu kwa dalili na sio kwa maneno ya mashekh wako walioshiba wali na maandaz ya maulid na ujue kauli za maulamaa wanasemaje na ukapekue nususi za kitabu na sunnah Allah akufanyie wepesi katika ufahamu wako
 
Ushamba na ujanja ni maoni ya mtu binafsi cha muhimu ni tija ya mtu anapopewa nafasi ya uongozi.

Wajanja ndio hao waliokuwa wanakula bata kwa mishahara hewa.
 
Ok nashukuru twende taratibu,nieleweshe kama uislamu unaruhusu kula mnyama aliyechinjwa na machine nipe na aya zake.
 
Kwanini mnataka kutuchinjia kila siku atutaki mtu yoyote achinje sasa ni zamu ya mashine,mashine haina dini
Hata wewe hufahamu process za machinjio zitakavyokuwa.
 
Takwimu zinaonesha WaTz sio walaji wa nyama wala sio wanywaji wa maziwa.

Hapa naona tatizo ni 'smartphone'. Kila mtu mjanja
 
Nimemsikia mh Makonda akielezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5.
Amegusia machinjio ya vingunguti amesema mnyama anaingia mzima lakini anatoka vipande vya nyama kwa maana hiyo swala la kuchinjwa halipo.
Kwani Hataakichinjwa kwa utaratibu unaoutaka anatoka mzima???
 
Kwani waisilamu lazima wale,tutapeleka nyama mpaka nje ya nchi na wakitaka kula watengeneze machinjio ya kiislam.
Mbona shule wameweza????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…