Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ivi kwanini waislam wanawakilishwa na sheikh mmoja tu...wakati kuna madhehebu mengi tu eg shia,kadria,salaf,bakwata nkDr Malasusa wa KKKT, askofu Sosthenes wa Anglican, Kardinali Pengo wa Katotiki na shehe mkuu wa waislamu wote wa mkoa wa Dsm wamehudhuria mkutano huu wa kipekee!
Hivi kwa mfano yule sheikh mkuu was Darisalama hana kazi nyingine yoyote zaidi ya kuhudhuria mikusanyiko ya serikali kila siku?Mkoa wa Dar es Salaam hauhitaji Maombi dhidi ya Wanafiki, Watekaji na Wauwaji badala yake unahitaji Mikakati madhubuti ya Kuuendeleza na pia Kupambana na Changamoto mbalimbali za Kijamii. Nawaheshimu Viongozi wa Dini nchini Tanzania, ila naona kwa miaka ya hivi karibuni wanaanza ' Kutepeta ' Kimaadili, Kiimani na Kiutumishi ndani ya Taasisi zao huku wakianza taratibu ' Kutekwa / Kurubuniwa ' na Wanasiasa.
Kwa sababu mtoto wa nabii nuhu. Alimcheka baba yake alipokuwa amekaa uchi mungu akamwambia kuanzia leo nakupa laana utakuwa mweusi na kizazi chako na utapenda sana ngono badala yamaendeleoWatu weusi bana sijuhi kwanini ni Wajinga hivi
Ivi kwanini waislam wanawakilishwa na sheikh mmoja tu...wakati kuna madhehebu mengi tu eg shia,kadria,salaf,bakwata nk
Mbona wakristo wanawakilishwa kila dhehebu eg RC,anglikana,walokole nk!?
Umehudhuriwa na viongozi wote " wakubwa wakubwa" wa dini!
Hapo naona cha kufanya,ile ya wakristo ichinjwe kwenye machine na ile ya waislamu watangojea ichinjwe kwa kufuata utaraibu wa dini yao...Vyovyote iwavyo kikubwa ichinjwe, lazima imani za Watu zitazingatiwa
Sidhani km Viongozi hawatambui hilo
Kama kuna kitu kinaniuma ni kulifanya Taifa hili lenye neema nyingi kuwa la kishamba. Mambo makubwa na ya maana watu hufanya kwa kujifungia. Wanapotoka kwa vyombo vya habari, ni kutangaza maazimio.Kinachokuuma tunakijua kamanda[emoji220]