Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

Nikatika kutafuta huruma za Ikulu anajipitisha pitisha. Soon ataita wakuu wavyombo vya ulinzi na usalama....
 
Mh Paul Makonda, Rais ajaye baada ya J.P.M..... Ukitaka kutapika rukhsa
 
Dr Malasusa wa KKKT, askofu Sosthenes wa Anglican, Kardinali Pengo wa Katotiki na shehe mkuu wa waislamu wote wa mkoa wa Dsm wamehudhuria mkutano huu wa kipekee!
Ivi kwanini waislam wanawakilishwa na sheikh mmoja tu...wakati kuna madhehebu mengi tu eg shia,kadria,salaf,bakwata nk

Mbona wakristo wanawakilishwa kila dhehebu eg RC,anglikana,walokole nk!?
 
Kila siku mambo Yale Yale tu,mbona hapa mjini kuna changamoto nyingi huyu dogo angekuwa mitaani kuzishughulikia kuliko hizo propaganda, kizuri huwa kinajiuza tu siyo lazima kuwe na promo kubwaaa.

Viongozi muwe wabunifu kuna mambo mengi sana yanaisumbua jamii yetu
 
Huenda mashine zimefungwa kuelekea kibra kabisa tembeeni vifua mbele tunakoelekea kuzuri
 
Siku meya wa New York naye akiamuwa kutuonesha maendeleo ya New York City nina imani kuna watu watapofuka siku hiyo.
 
Mkoa wa Dar es Salaam hauhitaji Maombi dhidi ya Wanafiki, Watekaji na Wauwaji badala yake unahitaji Mikakati madhubuti ya Kuuendeleza na pia Kupambana na Changamoto mbalimbali za Kijamii. Nawaheshimu Viongozi wa Dini nchini Tanzania, ila naona kwa miaka ya hivi karibuni wanaanza ' Kutepeta ' Kimaadili, Kiimani na Kiutumishi ndani ya Taasisi zao huku wakianza taratibu ' Kutekwa / Kurubuniwa ' na Wanasiasa.
Hivi kwa mfano yule sheikh mkuu was Darisalama hana kazi nyingine yoyote zaidi ya kuhudhuria mikusanyiko ya serikali kila siku?
At least Mufti mkuu naona anajitambuwa kiasi hayuko cheap kiasi hicho.
 
Nilitaka/niliandika maneno mabaya Sana kuhusu Dini yako,
Kwabahati mzuri Niliikumbuka familiya ya jirani yangu jinsi tunavoishi kwaupendo, kusaidiana,
Pia hata Huo upande wa uchinjaji unaosema, Mimi ndio mchinjaji wake,
Kuku wake mwenyewe kanunua kwapesa zake mwenyewe
lkn Mimi ndio Namchinjia,
Kwahiyo nimefuta nilichokiandika kwakuhofia nisije waumiza wakristo wasio nahatia kwasababu yamvutabange1 km wewe,
Pia nawahusia ndugu zangu waisilamu musiitukane/musiwatukane watu wa Imani zingine
kwaaajili ya maneno yakuudhi ya watu km Hawa
Huwenda hata kanisani haendi
Huwa anashinda vijiweni kuvuta bange,
Maana mtu aliyeshiba Imani huwa Kauli/vitendo vyake vinakua vizuri maana mtu anadhihirisha/kufanya vile viliopo moyoni
Ninaimani kua moyoni mwako kumejaa bangi ndiomaana hata maneno yanayotoka pia yakibangibangi.
 
Hii ni kuvunja miguu ya akina Mbowe, Baada ya hili la leo sijui kama Dar es Salaam kuna maandamano 24/11
 
Watu weusi bana sijuhi kwanini ni Wajinga hivi
Kwa sababu mtoto wa nabii nuhu. Alimcheka baba yake alipokuwa amekaa uchi mungu akamwambia kuanzia leo nakupa laana utakuwa mweusi na kizazi chako na utapenda sana ngono badala yamaendeleo
 
Bakwata sio dhehebu kwani ccm ni dhehebu? Salafi wanajitambua huwa hawajipendekezi
Ivi kwanini waislam wanawakilishwa na sheikh mmoja tu...wakati kuna madhehebu mengi tu eg shia,kadria,salaf,bakwata nk

Mbona wakristo wanawakilishwa kila dhehebu eg RC,anglikana,walokole nk!?
 
Umehudhuriwa na viongozi wote " wakubwa wakubwa" wa dini!

Kuhudhuria kwao hakubadilishi Hali ya mambo ktk Nchi hii ,sana ni mnataka kujianika na kujionesha tu for nothing mbele ya baadhi ya Wajinga.Mmeelekeza Nguvu katika kujitangaza baada ya kufeli kutatua Changamoto tulizo nazo.
 
Vyovyote iwavyo kikubwa ichinjwe, lazima imani za Watu zitazingatiwa

Sidhani km Viongozi hawatambui hilo
Hapo naona cha kufanya,ile ya wakristo ichinjwe kwenye machine na ile ya waislamu watangojea ichinjwe kwa kufuata utaraibu wa dini yao...
 
Kwa nini msianzishe machinjio ya kiislamu?maana haya ni machinjio ya watu ambao wanataka kula nyama. Wenye mambo yao wayafanyie huko kwingine.


IKIRIRI,
 
buzi,
]Umeongea vema sana mkuu huju mleta mada ni mvuta bange anaejinasibisha na uislamu mada zake tunazijua hapa jamvini.
 
Hizo hapo mkuu
tapatalk_1567837175477.jpeg
 
Kinachokuuma tunakijua kamanda[emoji220]
Kama kuna kitu kinaniuma ni kulifanya Taifa hili lenye neema nyingi kuwa la kishamba. Mambo makubwa na ya maana watu hufanya kwa kujifungia. Wanapotoka kwa vyombo vya habari, ni kutangaza maazimio.
 
Back
Top Bottom