Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

Rais Magufuli amejitahidi sana kuinganisha Tanzania kwa barabara za lami

Magufuli ndiye aliyebuni mfuko wa barabara toka awamu ya tatu

Huyu Mzee
 
Dar es Salaam imeoza. Ni chafu kupindukia halafu badala ya kuonyesha mabadiliko kwa kutafuta na kuleta solutions kila kukicha tunasikia matamko na mikutano kuzungumzia mafanikio ya MTUMISHI MWINGINE WA UMMA.

Asilimia kubwa ya wakazi wa hili liitwalo JIJI wanaishi KIFUKARA kupitiliza - maji shida, lishe ya hovyo na malazi substandard. Kila kukicha wanalishwa MATAMKO na upuuzi uliofadhiliwa na UPOFU uliopitiliza. Ifike siku na saa AIBU ziwafike kwa maana kuvimbiwa kiasi hiki kinachoonyeshwa ni dhambi kwa binadamu wenzenu.
 
Mjinga haambiwi ukweli iwe kikwete mkapa magufuli wote.wanayekeleza ilani ya ccm sasa magufuli anatekeleza kwa kasi zaidi
 
RC PAULO MAKONDA AMTUKANA RAIS KWA KUMKEJELI HADHARANI.

Ndio, hizi kejeli ni matusi kwani kuzungumzia jambo LA uongo kwa kumuhusisha yeye ni kejeli kwa taasisi yake.
Ona sasa kumchekea sana Makonda amefikia kufanya hivyo! Huyu ni sawa na kuacha mbwa akizoee sana anaweza kukufata msikitini.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] huyo jamaa huwa simuelewagi. Saa nyingine huwa napata wasi wasi na uelewa wake.
Una habari! Matibabu ya akili ni bure katika ukanda huu wa afrika Mashariki na kati.
Ni vema uwahi kabla hujaanza kuvua nguo hovyo na kujisaidia hadharani.
 
Kuna wakati uelewa wake unawapa shida sana watu, sidhani kama anatania. Huenda ndivyo hali ilivyo.
 
Kwanini useme "Kama ni kweli mmefanya yote hayo,mnaogopa Nini sasa uchaguzi" me sio mwanasiasa Wala Sina itikadi ya chama chochote Cha siasa huna sababu yakuongea hayo maneno.Hayo ni maoni yangu tu.

Hujajibu hoja mbona!
tafadhali jibu hoja kwani nani kakuambia mimi ni mansiasa?
huoni kwa hoja zako ni kuw aumechagua upande na ndio maana unaona na mimi nimechagua upande.
 
Katika siku mbili zilizopita tumewasikia viongozi wa dini wakitoa hutuba zao Juu ya mustaqbali wa siasa za Tanzania.
Utaratibu huu umekuwa kama ndio desturi kila unapokaribia uchaguzi.
Kwangu mimi sioni cha ajabu ila tatizo ni kwa viongozi wa dini wa kiislam

Hivi alhadi unajua kuwa hao unaowapigia debe hawataki mahakama ya Kadhi?

Hivi hao unaowapigia debe washatoa ahadi ipi kuwasaidia waislam ambao wanaonewa kila kukicha?

Nataka nikutaarifu kuwa hao ambao si waislam lao ni moja. Mfano wakati shekhe ponda alipopigwa risasi ni wachache mno waliolalamika bali wengi walifurahi. Ila wakati tundu lisu alipopigwa risasi kila mtu alipiga kelele kuonesha kuwa wao wapo pamoja na wanafurahi wakiona waislam wanaumizwa

Nikusihi wewe pamoja na waislam yakuwa sanduku la kura halitaleta haki kwa waislam wala kujipendekeza kwao hakutasaidia. Swala kubwa waislam ni kurudi Katika misingi ya dini yetu na kufanya jitihada za dhati Katika kujiletea maendeleo yetu na ya uislam
Hakuna Chama hata kimoja chenye nia ya kuleta walau ahueni ya waislam kutekeleza uislam wao kwa uhuru na ndio maana hata muislam asipopiga kura yupo sahihi na wala asije kuandamana kwa haya mambo ya kisiasa yatamgharimu.
Mwisho nikuusie ahadi kuwa umri unasogea muogope Allah jitahidi kuwa mkweli pesa ndogo unazopata kutoka kwa hao wanaokutumia zinamwisho ila Adhabu ya Allah haina Mwisho...
 
Kutathimini maendeleo yaliyopatikana ndani ya miaka minne!
Sijaelewa hiyo tathmini!inamaana watumishi wa Mungu hawajaiona hii kasi ya awamu ya tano au waumini wao ndio hawaelewi somo kwahiyo wametumika viongozi wa dini kuwalainisha ama!?maana kama kwa miaka minne wewe pekee ndio unasikika kila chombo cha habari na ma live coverage kila siku kuzindua hiki na kile na hakuna anaekubishia,yani ni wewe tu unaleta maendeleo ambayo hayakuwahi kupatikana inahitaji tena kukusanya watu na kuanza kuwaelezea kitu kilekile mnachofanya kila siku kwa miaka minne?nina wasiwasi pamoja na yote hayo bado watu hawaelewi somo.
Nilichokiona kingine kwenye huu mkutano ni mkuu wa mkoa bado anaweweseka na kuukosa mkono wa mzee kwenye uzinduzi wa kitabu cha rais mstaafu,bado haamini,na huu mkusanyiko ameutengeneza makusudi kabisa ili kupeleka ujumbe kwa muhusika kwamba anakubalika sana sana na viongozi wa dini kwa utendaji wake na wanamtaka aendelee kuwa mteule ili kama alifikiria kumpumzisha basi itabidi afikirie mara mbili mbili,huu ni ujumbe wa wazi kabisa hao viongozi wa dini wameutoa ili kumbeba mkuu wa jiji vinginevyo sijaona mantiki yoyote ya mkutano/kongamano/kusanyiko/semina hiyo.
 
Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.

Karibu!
Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo.

Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

======

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kasi ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo inayofanywa na Rais wa Tanzania, John Magufuli inazidi maelekezo ya ilani ya CCM.

Makonda ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Novemba 18, 2019 katika mkutano wake na viongozi wa dini unaofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) ambako anawaeleza mambo yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi cha miaka minne.

Amesema kasi ya kiongozi mkuu huyo wa nchi ni kubwa kuliko ilani hiyo, kwamba amefanikiwa kwa kuwa amemtanguliza Mungu mbele.

Amesema uchapakazi huo ndio umewafanya watendaji wengine kumuiga.

“Kawafanya hata viongozi wa Serikali wanaotumia hirizi kumtaja Mungu kwanza. Mara nyingi ameweka wazi kuwa mambo yanavyokwenda kasi hata yeye mwenyewe anamshangaa Mungu,” amesema Makonda.

Amesema ameamua kukutana na viongozi wa dini ili kuwaeleza miradi inayotekelezwa katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: Mwananchi
Wanabodi, kwenye bandiko hili Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... nilishauri
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali,

Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda
Paskali.
Hata baada ya kuteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM, Paul Makonda bado anapigwa vita na wasiomtakia mema, wasioitakia mema CCM na wasio itakia mema Tanzania.

Japo Tanzania ni nchi ya vyama vingi, na kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, mamlaka kuu ya nchi ni wananchi, kupitia katiba, serikali ya CCM ilifanya mabadiliko ya katiba kinyume cha katiba na kupoka ukuu wa mamlaka kuu ya wananchi, na kuikakabidhi kwa chama cha siasa, ambapo sasa mamlaka Kuu ya nchi ni chama tawala, CCM ndio imeshika hatamu kuongoza serikali, hivyo katika ukuu wa chama, CCM ndio kila kitu, hivyo Makonda kama msemaji wa CCM, kikao cha CCM kinaweza kumwagiza Rais wa JMT atekeleze jambo lolote lililoelekezwa kwenye ilani ya CCM, Katibu Mwenezi ndie msimamizi wa ilani ya CCM, ana mamlaka yote ya kumuamrisha hadi Rais wa JMT, atekeleze ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo Makonda yuko very right kumuamrisha Waziri Mkuu na kumpa ultimatum ya miezi 6 kumaliza migogoro yote ya ardhi ya nchi hii.

Na baada ya miezi 6, kama Waziri Mkuu, Majaliwa Kasim Majaliwa atashindwa kuitatua migogoro yote ya ardhi, atakuwa ni ameshindwa kazi, Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi, itakutana na kumuagiza Rais wa JMT, kumuondoa Waziri Mkuu, kwa kushindwa kazi na kumteua Waziri Mkuu mwingine mwenye uwezo.

Hata ikitokea Rais Samia ameshindwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM, chama kinaweza kumfuta uanachama na hivyo kupoteza urais!, hivyo Mwenezi wa CCM ni mtu mkubwa sana, kuliko serikali yote ya Tanzania, na hii ndio maana halisi ya Party Supremacy, CCM ndio imeshika hatamu za kuiongoza serikali ya Tanzania .

Hongera sana Mwenezi mpya wa CCM, Paul Makonda, kuiheshimisha CCM, endelea kutoa maagizo na ultimatum kwa viongozi wote kuhusiana na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM, wewe ndiye msimamizi wa ilani ya CCM!.

Angalia ilani ya CCM imeelekeza nini kuhusu Bunge la JMT, toa maelekezo kwa Spika with ultimatums, Spika akishindwa kutekeleza Spika anaondolewa!, enzi za Spika Sitta, aliponea chupu chupu kuondolewa, kuna mtu mmoja very powerful ndani ya CCM aitwae "The King Maker" ndie alimuokoa Spika Sitta kwa kumpa maelekezo Mwenyekiti wa CCM, JK, na hii ndio salama yake!.

Makonda angalia ilani ya uchaguzi ya CCM inasema nini kuhusu mhimili wa Mahakama, toa maagizo with ultimatum kwa Jaji Mkuu atekeleze.

Angalia ilani ya uchaguzi inasema nini kuhusu majeshi, ulinzi na usalama, toa maelekezo with ultimatum kwa Amiri jeshi Mkuu na kwa Mkuu wa majeshi, IGP , etc.

Ila kwa nafasi ambazo sio za kichama kama Jaji Mkuu, Mkuu wa Majeshi, CAG, Mwenyekiti wa NEC, Msajili wa Vyama vya Siasa, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi, Mwenyekiti wa Tume ya Utawala Bora na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma ambao ni wateule wa rais, Paul Makonda anaweza kuwapa maelekezo bila ultimatums kwasababu hawa chama hakiwezi kuwafanya chochote, na badala yake, chama kitampa maelekezo mamlaka yake ya uteuzi ambaye ni Rais wa JMT, awaondoe!.

Kiukweli ninamkubali sana Paul Makonda!, Tangu nilipoanza kumkubali Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
He has never let me down!. Tena niliwahi kushauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... ushauri huu still stands, kwasababu miaka hii 4 ya Mama ni kumalizia awamu ya Magufuli, awamu ya baada ya Magufuli inaanza 2025, ila Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo you never know with politics, everything is possible!.

Paul Makonda kanyaga mwendo, chapa kazi, kazi iendelee!.

Hii vita ni ngumu kaka Mayala Paschal , Nafuatilia Colombia na sehemu zinginezo watu hupotezwa kabisa.
Makonda arudishiwe tu ukuu wa mkoa wa Dar tumemisi heka heka zake zisizoisha.
 
Back
Top Bottom