Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Done
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hakika kwa sasa watendaji wazembe na wanaofanya kazi kwa mazoea siku zao zinahesabika. Maana serikali hii haitaki utani wala kulea wazembe
Nenda mahakamani kama una malalamiko.Mbona yeye anazuia uwajibikaji?
Kwanini mlizuia asikaguliwe jambazi aliyekua anachipukia.
View attachment 2878784
MahakamaCCM??Nenda mahakamani kama una malalamiko.
Kwani ninyi CHADEMA si huwa ni kwenye mahakama hizo hizo ambazo hushinda kesi?MahakamaCCM??
Ngoja nikukumbushe tu huyu alikua ni jaji mkuu wa Tanzania Marehemu Augustino Ramadhani hapo ni akichukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM 2015!
Sasa kama jaji mkuu ni kada wa CCM kuna uhuru wa mahakama chawa/kiroboto wa Samia?
THINK THINK THINK!!!
View attachment 2878799
Jaji mkuu CCM..Kwani ninyi CHADEMA si huwa ni kwenye mahakama hizo hizo ambazo hushinda kesi?
Tatizo lenu ninyi ni kuwa mahakama inakuwa huru pale tu mnaposhinda kesi zenu.lakini mkishindwa kesi mnaanza vimaneno maneno tu
Wanatuona wajinga kutufanyia maigizo.Kwani si wangepigiana simu na Waziri, kuna sababu gani ya kupayuka majukwaani ili tuone kuwa wanafanya kazi wakati CCM = Serikali tu....
Mbona mwenyekiti wa ccm amefeli majukumu ya Urais na hachukuliwi hatua!?Haangaliwi mtu sura yake katika kumuwajibisha. Kinachoangaliwa ni utimizwaji wa majukumu na kuwajibika.ukishindwa kutimiza majukumu yako ni lazima uwajibishwe Bila kuangalia wewe ni nani.
Serikali na chama wapo kazini kuhakikisha ya kuwa watanzania wanapata huduma kwa muda stahiki na kwa ubora wa hali ya juu sana.Wanatuona wajinga kutufanyia maigizo.
Acha kuropoka ropoka kama mlevi wa gongo. Unaanzia wapi kusema amefeli wakati unaona namna uchumi wa nchi unavyoendelea kufanya vizuri,kugusa maisha ya watu.kijenga miradi ya kimkakati kwa wingi,kujenga miradi ya huduma za jamii kila kona ya Taifa letu.kuvutia wawekezaji na mafuriko ya watalii kuja nchini.kuongeza makusanyo ya kodi bila habari za kufungiana biashara n.k.Mbona mwenyekiti wa ccm amefeli majukumu ya Urais na hachukuliwi hatua!?
Kwahiyo makonda anakuwa juu ya mama ambaye ndiye mamlaka ya uteuziNdugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda ametoa maagizo ya chama kwa waziri wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa kumsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa Pangani Haraka sana.
Hii ni baada ya kukutana na kero nyingi sana katika halmashauri hiyo zilizotolewa na wananchi pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali ambao wamekuwa wakitoa huduma kwa halmashauri lakini hawalipwi pesa zao ,na wanapodai haki zao za kulipwa madai yao wamekuwa wakipewa majibu yasiyoridhisha huku mkurugenzi akijifanya Mungu mtu.
Mheshimiwa Makonda pia ametoa maagizo kwa Mh waziri kuhakikisha kuwa anaunda timu na kuipeleka Pangani kwenda kufanya uchunguzi wa masuala mbalimbali ambayo yamekuwa ni kero na kulalamikiwa na wananchi . Pia amezungumzia suala la kukwama kwa miradi ya serikali na masuala mengine mengi sana yanayochochea chuki ya wananchi kwa serikali yao.
Katika hatua nyingine Ametoa pia kauli nzito sana iliyotetemesha na kuibua shangwe kwa wananchi baada ya kuagiza wakurugenzi wote nchini kushugulikia kero za wananchi ,na kwamba mahali ambapo itaonekana mkurugenzi ameshindwa kutatua kero basi chama hakitasita kutoa maagizo kwa serikali ya kusimamishwa kazi kwa mhusika. Lakini pia amewaagiza wenyeviti wote wa CCM nchini wilaya na mikoa kutoa taarifa juu ya wakuu wa mikoa,wilaya ,wakurugenzi na watendaji wengine wa serikali wanaoshindwa kufanya kazi na kutimiza majukumu yao vizuri ili wachukuliwe hatua.
Ndugu zangu Watanzania kupitia jukwaa hili niliwatahadhalisha sana na kuwasihi sana viongozi wote wa serikali mikoani na wilayani kuwa waanze kufanya kazi na kwenda kwa wananchi kuwasikiliza kero zao.niliwaambia ya kuwa ziara za Mheshimiwa Makonda zitakuwa za moto sana tena sana na zitasomba wengi sana hasa wale wazembe na wanaofanya kazi kwa mazoea na kujifanya miungu watu hawatasalimika wala kuachwa salama katika ziara za Mheshimiwa Makonda. Kwa sababu kila mtu anafahamu ya kuwa Mheshimiwa Makonda hanaga huruma wala subira wala uvumilivu kwa wazembe kazini.
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Taarifa mpya ya hivi punde.
Ni kuwa Tayari muda huu mkurugenzi amesimamishwa kazi na waziri wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa kama alivyoelekezwa na kuagizwa na chama. Amesimamishwa ili kupisha uchunguzi.
View attachment 2878884
Kwa hiyo mnaposhindaga kesi zenu huwa mnakuwa na jaji mkuu wenu? Tangia lini spika wa bunge ameenda mahakamani kusimamia kesi na kutoa uamuzi wa kesi?Jaji mkuu CCM..
Rais CCM..
Spika CCM..
Unazungumzia kesi za kubumba kame ile ya Mbowe kuwa ni gaidi?
Ile ilikua ni suala la muda serikali ingejivua nguo ndio maana DPP akaweka mpira kwapani.
Makonda ni msemaji wa CCM. akisema yeye ni chama kimesema na kuzungumza.Kwahiyo makonda anakuwa juu ya mama ambaye ndiye mamlaka ya uteuzi
Wewe ndio unaropoka ropoka. Watu hawafanyi kazi sababu ya ukosefu wa UMEME wewe unaleta Nyenyenye!Acha kuropoka ropoka kama mlevi wa gongo. Unaanzia wapi kusema amefeli wakati unaona namna uchumi wa nchi unavyoendelea kufanya vizuri,kugusa maisha ya watu.kijenga miradi ya kimkakati kwa wingi,kujenga miradi ya huduma za jamii kila kona ya Taifa letu.kuvutia wawekezaji na mafuriko ya watalii kuja nchini.kuongeza makusanyo ya kodi bila habari za kufungiana biashara n.k.
Tayari lishafanyiwa kazi! TAMISEMI ishatoa barua!Makonda ni msemaji wa CCM. akisema yeye ni chama kimesema na kuzungumza.
Aina za kesi ndio kama hizo nilizokutajia za kubumba , mbona husemi Bob Chacha Wangwe alipeleka kesi ya kuzuia wakurugenzi kusimamia uchaguzi ikatupiliwa mbali?Kwa hiyo mnaposhindaga kesi zenu huwa mnakuwa na jaji mkuu wenu?
Mimi nimesema wapi spika anaenda mahakamani ?Tangia lini spika wa bunge ameenda mahakamani kusimamia kesi na kutoa uamuzi wa kesi?
Hata CCM wenye AKILI WATAPINGA ila WAPUMBAVU kama wewe utashangiliaChadema watapinga
Kwa hiyo unaposema kesi ya mtu fulani ilitupwa je kwa akili yako ulitaka mlalamikaji apewe ushindi hata wakati kesi yake haina kichwa wala miguu? Mahakamani kinachoshinda na hoja za kisheria na siyo blaa blaa au kwenda kujazana mahakamani kama ambavyo huwa mnafanya ninyi CHADEMAAina za kesi ndio kama hizo nilizokutajia za kubumba , mbona husemi Bob Chacha Wangwe alipeleka kesi ya kuzuia wakurugenzi kusimamia uchaguzi ikatupiliwa mbali?
Wakurugenzi wanateuliwa na rais , Magufuli akawaambia "Nikupe nyumba , gari na bado umtangaze mpinzani utanijua vizuri" au hii ilikupita kiroboto wa Samia
Mimi nimesema wapi spika anaenda mahakamani ?
Au na wewe uraia ulipata F kama Nape?
Hao ni wakuu wa mihimili 3 (Executive, Judiciary, Legislature kwa kimombo)
Jielimishe uachane na kupewa script za kuja kusifia humu.
CHADEMA ninyi huwa hamjitambui na wala hamuelewi mnataka nini. Kwa ujinga wenu mmeanza kushindana na kanisa la KKKT. jambo ambalo kamwe hatafanikiwa zaidi ya kupata laana tu na kusambaratika kama kondoo.Hata CCM wenye AKILI WATAPINGA ila WAPUMBAVU kama wewe utashangilia
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app