Paul Makonda amefanikiwa kuiweka CCM katika mioyo na midomo ya Watanzania

Upo sahihi kabisa!!

Hiyo namba unayoweka hapo wameshaichukua ni tayari!! Achana nayo unakera pamoja na hoja zako nzuri
 
Yaani uovu wa Joyce wowowo ni wa kutafuta?
Nakuonaga mkongwe humu lakini unakuwaga na mambo ya kichoko!!

Kwanini usijadili hoja??? Wewe ni changu la Kipemba
 
we dogo lazima una mtindio
 
Nakuonaga mkongwe humu lakini unakuwaga na mambo ya kichoko!!

Kwanini usijadili hoja??? Wewe ni changu la Kipemba
Huyo hajitambui.maana naamini kuwa mtu anaweza kujenga hoja bila kutumia lugha chafu na mbaya
 
Ww ndio desclipine master humu jf dogo? Ama unadhani Yale matusi unayotukana wasio upande wako hayafahamiki? Tulia ww, kumsifia muhalifu yenyewe ni zaidi ya matusi.
Weka hapa ushahidi wa hayo matusi ambayo nimewahi kutukana humu jukwaani. Usipende kuchafua majina ya watu wakati huna ushahidi wa aina yoyote ile.
 
Nakuonaga mkongwe humu lakini unakuwaga na mambo ya kichoko!!

Kwanini usijadili hoja??? Wewe ni changu la Kipemba

Niweke kwenye ignore list yako maana utaishia kuteseka. Huyo Joyce wowowo ni muhalifu kama wahalifu wengine.
 
Weka hapa ushahidi wa hayo matusi ambayo nimewahi kutukana humu jukwaani. Usipende kuchafua majina ya watu wakati huna ushahidi wa aina yoyote ile.

Nikuwekee ushahidi ww kama nani? Anzisha jukwaa lako tufuate utakacho, humu tunachangia tutakavyo, na ukileta habari za muhalifu jiandae kutapika nyongo.
 
Nikuwekee ushahidi ww kama nani? Anzisha jukwaa lako tufuate utakacho, humu tunachangia tutakavyo, na ukileta habari za muhalifu jiandae kutapika nyongo.
Hili ni jukwaa lenye heshima yake .unatakiwa uandike na kuweka vitu ulivyo na ushahidi navyo
 
Akili za kimasikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…