Paul Makonda amefanikiwa kuiweka CCM katika mioyo na midomo ya Watanzania

Nadhani amesaidia kuianika CCM hadharani kwa kutowajibika kwa wananchi! Wananchi wana kero za kila namna!
Huenda Mioyoni mwa wananchi kwa sasa kuna plan B!
 
Nadhani amesaidia kuianika CCM hadharani kwa kutowajibika kwa wananchi! Wananchi wana kero za kila namna!
Huenda Mioyoni mwa wananchi kwa sasa kuna plan B!
Kazi na jukumu la CCM Ni kufuatilia namna wananchi wanavyopata huduma , kusikiliza kero zao na kuhakikisha kuwa zinatatuliwa na kupewa majibu kutoka serikalini.ndio maana watu wanamiminika na kufurika ili kukieleeza chama kero zao maana wanajuwa CCM Ndio iliyoomba kura kutoka kwao katika uchaguzi uliopita
 
Sio kwamba Makonda ndie amefanikiwa kuzidi kuiweka CCM kwenye Mi**ndu ya Watanzania
 
................ Midomo na mioyo ya wa Tanzania wapumbavu.
 
Umeme upo sema labda changamoto ndogondogo ambazo nazo zinakwenda kufika kikomo muda siyo mrefu.kwa sababu Vwawa la mwalimu Nyerere linakwenda kuwasha mtambo wa kwanza ambao utatupatia megawati 205 zitakazounganishwa katika grid ya Taifa
Umeme uko wapi
 
Albert Einstein said, “You cannot solve a problem with the same mind that created it.”
Yaani CCM haohao walete matatizo na haohao ndio watatue?
Matatizo ya Watanzania yatatatuliwa baada ya ccm kuondoka Madarakani. Regime change 🤔
 
Akina Lucas mwashambwa wanayajua hayoo😅
 
Matatizo gani yaliyoletwa na CCM wakayi kila mtanzania anaona juhudi za CCM na serikali yake katika kutatua kero za wananchi?
 
Akina Lucas mwashambwa wanayajua hayoo😅
CCM Inaendelea kutatua kero na changamoto mbalimbali na kuleta matumaini na Tabasamu kwa watanzania.ndio maana CCM Inaendelea kuungwa mkono na kuaminika kwa watanzania
 
Kwani wapi ambapo mimi umeona nimeandika makala ya kuomba uteuzi.
Unaandika makala za kujipendekeza lakini kwa vile zinakosa maudhui ndiyo maana huitwi,unatwanga maji kwenye kinu yataishia kukulowesha tu. Wanakudharau sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…