Paul Makonda amtaka Gwajima afike ofisini kwake kutolea ufafanuzi juu ya kumkashifu Pengo

Ivi Baada Ya Kova kwa level Ya vyeo anayemfuatia ni Makonda? Au naona sivyo mwenzenu? Maana huyu kijana mwenzetu Naona anaroho Ya Yuda Ndani yake.
 

makonda nae ni pimbi tu. Kamtukana sana lowasa na pia alimpga mzee wa watu warioba . Leo anajifanya mstaarabu wakati ni pimbi2 na udc wa kupewa.
 
Hivi mbona kuna watu wengi sana maarufu,mashekh wanatukanwa nawanao watukana hawaitwi na polisi wala mkuu wa wilaya huyu pengo ninani ?polisi wanasemaga hatujaletewa malalamiko.
 
Huyo dogo hajui wajibu wake wala hajitambui, Mpuuzi sana
 
Ndio...kuhakikisha amani inatamalaki wilayani kwake.Gwajima ni hatari kwa usalama wa taifa.lazima uelewe kuna kundi kubwa hapo kiongozi wao wa juu ametukanwa

Ni hatari zaidi ya Samwel Sitta aliye watukana maaskofu ndani ya BMK
 
Duuuh Paul.ine naye anameno sasa hivi. Haya, ndiyo CCM uongozi wa serikali yao ni familia ya kambare hii baba, mama, watoto wote wana ndevu.
 


Hapa kidogo umejitahidi kupunguza mihemko na kuongea point.

Zile coments zako za awali ulikuwa unapotea njia kwa kutishia watu.
 
Gwajima sasa hivi amekuwa kama mpora wa kona, kila mtu anamgombea kitaka kufunga goli.
 
Wakuu naomba kuuliza. Hivi, Kardinali Pengo amejibu au amesema nini baada ya maneno ya Askofu Gwajima?. Naona mara Gwajima kaitwa kuhojiwa na polisi mara kaandikiwa barua ya wito na DC Makonda wa Kinondoni.
 
Makonda yeye alipomtukana Lowassa aliitwa wapi
 
Makonda my foot,yeye nae polisi ,kachero au nani?Alivyomdhalilisha warioba aliripot kwa nani?Ni kwel Gwajima alitumia lugha kali ila alikuwa na meseji ya muhimu kutoa.Tusubir polis watuambie kinachoendelea.
Hajui majukumu yake huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…