twatwatwa
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 2,066
- 419
Paul Makonda huyu-huyu aliyemtandika makofi Jaji Warioba??
usafi ameutoa wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paul Makonda huyu-huyu aliyemtandika makofi Jaji Warioba??
Huyu makonda mavi ya bata kabisa.DC unahusika na nini kwenye mambo hayo
Mkuu wa Wilaya ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya na Afisa Usalama wa Wilaya ni Katibu wake. Hivyo DC Makonda yuko sahihi na anatimiza wajibu wake.
Msipende Kuwa mnakurupuka hovyo hovyo bila kuishughulisha akili yenu japo kidogo.
Wanaporomosha maombi au matusi?Huko kwenye KANISA lake nasikia watu wamefunga KAVU wanaporomosha maombi ya kutosha. Sasa tuwe waangalifu maana hukumu ni ya Bwana...
Ndio...kuhakikisha amani inatamalaki wilayani kwake.Gwajima ni hatari kwa usalama wa taifa.lazima uelewe kuna kundi kubwa hapo kiongozi wao wa juu ametukanwa
Yeye ni nani afike ofisini kwake
Wapendwa nawashauri tupunguze maneno ya kashfa. Mungu kamwe hazihakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna. Kama ni mdomo umemponza Ask Gwajima je wewe unayemtukana unatumia nini?
Huko kwenye KANISA lake nasikia watu wamefunga KAVU wanaporomosha maombi ya kutosha. Sasa tuwe waangalifu maana hukumu ni ya Bwana.
Baba Ask Pengo ni mtumishi wa Mungu, siamini kuwa Leo wakristo tunalipana ubaya kwa ubaya (Kama upo). Hata mafarisayo walipomtukana Yesu, neno la Mungu linasema hakufunua kinywa chake. Ask Pengo ni kiongozi mwenye kufuata mfano wa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tena imeandikwa ukipigwa shavu la kushoto, geuza na la pili...... Kesi ya wana wa Mungu lini ikaamuliwa na MATAIFA????? Eeeeee Mungu, nyosha mkono wako, wanadamu wanafanya ghasia juu ya watumishi wako. Eeeee Bwana ikikupendeza tuinulie mtumishi wako, nabii wa siku, kulimaliza kesi ya watoto wako ili injili iendelee kuhubiriwa. Kwa Jina la Yesu Kristo tumeomba. AMEN
Mwisho je,, Hawa wote wanaomshitaki Ask Gwajima wametumwa na Pengo (siamini). Kama wana vita yao na Ask Gwajima isipitie kwa baba yetu mpendwa Pengo. Anyway vita ya KIROHO siku zote humalizikia rohoni. Kwenye hili tuwe waangalifu sanaaaaaaaa!!!
Mwisho wale mnaojiita wakristo, tabia ya kukashifu dini ya mwenzio au kiongozi wa KANISA lingine sio nzuri kabisa. Mkumbukeni Mtume Paulo alipowajibu wale waliokuwa wamejimilikisha jina la Yesu kuwa... as long as Kristo anahubiriwa iwe kwa hila au..... jina la Bwana litukuzwe.
Tuendelee na maombi ya kuiombea nchi yetu changamoto ni nyingi, tuukomboe wakati, usiutie unajisi moyo wako.
Mungu atubariki na atusaidie.
Queen Esther
Mkuu wa wilaya
Hizi nafasi za kishikaji tunataka zifutwe
Hajui majukumu yake huyo.Makonda my foot,yeye nae polisi ,kachero au nani?Alivyomdhalilisha warioba aliripot kwa nani?Ni kwel Gwajima alitumia lugha kali ila alikuwa na meseji ya muhimu kutoa.Tusubir polis watuambie kinachoendelea.
Makonda yeye alipomtukana Lowassa aliitwa wapi