Paul Makonda amtaka Gwajima afike ofisini kwake kutolea ufafanuzi juu ya kumkashifu Pengo

Huyu gwajima kwanza ameharibu ndoa ya kijana mwenzetu Mbasha alafu bado anajiita mchungaji,tunaomba serikali itusaidie kudeal na mamluki was hivi kwenye jamii yetu ...this guy deserves to be tasked on how to keep manners

mkuu hizo ni story naona hazina ukweli wowote
 
Samahani hivi huyu makonda anaelewa mipaka yake kweli?
 
Labda Pengo yuko usalama wa taifa. ukimuona anavyoongea utadhani amekaa upande wa kiume wa Yesu, la hasha yuko upande wa kuume wa Kikwete. Kwa maono yake anaona nchi hii inaendeshwa vyema(elimu bora kama aliyosoma yeye wakati wa mkoloni, kufifia kama sio kufa kwa sector ya Afya, utabaka. nk) basi kama anasali na kufunga na matokeo yake ndiyo haya BASI HAKUNA MUNGU popote pale. kwanini Mungu atuache tuangamie kwa miaka 50. gwajima na awe chachu ya kutoa giza lilitanda kwenye mioyo ya Watanzania tuone unyonge na woga ni adui mkubwa katika kuleta maisha yetu yawe bora.
UNYONGE WA MWAFRICA
 
huna hoja kafilie mbali mnafiki!

mnafiki ni aliyekutuma.....wenye akili wameshatambua .....wewe ni mtu wa aina gani.....na hata uwezo wako wakufikiri uko ktk level gani,,,.......ndo maana hatusbishani nawajinga........kunawanaojitambua na kutulia....hao tunawaelimisha....kapumzike ukishakuwa ...rudi tutakupa shule ya bure yakujitambua na kuchambua mambo....all da best
 

Hakuna mkatoliki anayemueshimu Pengo
 
DC Makonda watamkoma mwaka huu... Walimtukana sana alipokuwa anafunga kamba za viatu vya Ridhwani Kikwete!!!! ...
 

Si ameshaitwa polisi? Kwani huko polisi ameenda kufanya nini kama si kutolea ufafanuzi tuhuma hizo? Kwa mtindo huu mwenyekiti wa mtaa atamwita akatoe maelezo. mwenyekiti wa kata, diwani, mbunge, mkuu wa mkoa, meya, Takukuru, Sumatra, na hata JK naona kila mtu atamwita kwa wakati wake ofisini kwake akatoe maelezo.
 
Utendaji kazi wa huyu dogo ni TUSI KUBWA SANA KWA MAMLAKA YA UTEUZI

Mamlaka ya uteuzi inaundwa na mtu mmoja, na teuzi zake zote ni za mashaka. Kwake ni sawa tu wala hakuna tusi..
 

huna hoja kaka si umesha andika matakataka hapo juu,wewe ndio hujitambui, mwenye kujitambua hawezi support unafiki wa pengo,jibu swali langu kwa nini pengo asiseme usisomwe, pengo alishindwa nini kusema usisomwe,inaonekana nayeye hajitambui, angalia sasa anavyotapatapa,aibu tupu!na wewe usojitambua unatetea tu,pengo is finish kama kilaini na bado wapo wengi,mwaka huu tutaona mengi
 
Hili tulipokee nalo kama lilivyokuja kwa sababu ni mwendelezo wa ombwe la uongozi wa juu wa nchi. hivi huyu DC wa wilaya hata akili yake kidogo sana aliyonayo hilo nalo ni jukumu lake? hata kova hivi jeshi la polisi limeanza kushughulikia kesi za defamation? au ni kutupotezea mwelekeo kwenye masuala ya msingi ? mwambieni Makonda ajaribu kufikiri kidogo anatudhalilisha vijana aaah pumbavu kabisa.
 

Hivi tamko la maaskofu liliweka mikakati gani ya "KUWASHINIKIZA" waumini wao na kuhakikisha wanapiga kura ya hapana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…