Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

CCM ni chama kilichojifia kitambo! Haiwezekani mpaka leo kinawatumia watu waliofoji vyeti vya kitaaluma kwenye nafasi zao za kiuongozi.
Kweli watu wenye tuhuma kuhusu elimu ni ngumu kuwa viongozi wazuri. Pale CHADEMA kuna matatizo makubwa zaidi kwa sababu viongozi wa juu karibu wote wana elimu duni. Mwenyekiti anatajwa kupata sifuri form six, huku Lema akitajwa kuishia kidato cha pili. Sugu ndo msomi pekee ambaye elimu yake imenyooka ya kidato cha nne.
 
Ila wana maisha kukuzidi wewe PhD holder
 
Jibu zuri sana kwa swali la kichonganishi kama hilo! safi sana Konda boy 😆
 
Lakini ndio majibu ya kiswahili hayo wala sishangai
Ila angeulizwa na mzungu angejibu kwa ufasaha na sidhani kama angejibu hivyo kwani inategemea nani anamuuliza na hilo jibu linaonesha limekaa sawa tu
 
Mama kayatimba kumteua konda kuwa mwenezi, ana maadui wengi watamzonga sn kwa maswali na ghiliba za namna hiyo atashindwa kufanya kazi zake vizuri hana mamlaka ya kuagiza vyombo vya dola kuwashikisha adabu wasio mtii...

Maadui wa ndani na nje ya chama chake wameshajua hana kifua cha kuvumilia kejeli wataenda nae kwa style hiyo mpaka kazi imshinde...ataanguka hataweza kufanya kazi zake sawasawa. Mamlaka yake ya uteuzi I'm imwondee mapema kwenye nafasi hiyo kabla mambo hayajaharibika.
 
Hv Mama hadi amekaa kamteua huyu Makonda kwani hakujua kama ana maadui wengi!? Hakujua kama atakutana na kejeli!? Yan watu wengne sjui huwa mnatumia nn kufikiria jmn khaa! Hapo hakuna kitu kipya shortly they saw all these freaks coming ahead.
 
Wakimzonga Makonda,Mama anapumua

Mishale yote ambayo ingeelekezwa kwa Mama sasa inaenda kwa Makonda

Acha Mama apumue
 
Wewe wasema!
 
Imwache tumhoji vizuri mwizi wetu, ili kesi ikianza baadae wajikaange vizuri kwa matamko yao
 
Kazi ya kuthibitisha tuhuma za jinai ni ya Jamhuri na siyo mwananchi. Mwananchi anakuwa shahidi tu.

Usichukulie ukimya wa Serikali za CCM awamu ya Magufuli na hii ya Samia ukahisi yamekwisha. Atatoka Samia madarakani na nakuhakikishia huyo Nyamitako atakabiliana na vyombo vya sheria na lazima ataingia jela. Labda afa mapema
 
Jibu la kipuuzi sana kwa swali la kipuuzi sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…