Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli watu wenye tuhuma kuhusu elimu ni ngumu kuwa viongozi wazuri. Pale CHADEMA kuna matatizo makubwa zaidi kwa sababu viongozi wa juu karibu wote wana elimu duni. Mwenyekiti anatajwa kupata sifuri form six, huku Lema akitajwa kuishia kidato cha pili. Sugu ndo msomi pekee ambaye elimu yake imenyooka ya kidato cha nne.CCM ni chama kilichojifia kitambo! Haiwezekani mpaka leo kinawatumia watu waliofoji vyeti vya kitaaluma kwenye nafasi zao za kiuongozi.
Ila wana maisha kukuzidi wewe PhD holderKweli watu wenye tuhuma kuhusu elimu ni ngumu kuwa viongozi wazuri. Pale CHADEMA kuna matatizo makubwa zaidi kwa sababu viongozi wa juu karibu wote wana elimu duni. Mwenyekiti anatajwa kupata sifuri form six, huku Lema akitajwa kuishia kidato cha pili. Sugu ndo msomi pekee ambaye elimu yake imenyooka ya kidato cha nne.
Never on earthharafu mnategemea yeye na wateuzi wake wawapatie katiba mpya hivi hivi.
Jibu zuri sana kwa swali la kichonganishi kama hilo! safi sana Konda boy 😆Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
Mimi nimekufa?Ila wana maisha kukuzidi wewe PhD holder
Hv Mama hadi amekaa kamteua huyu Makonda kwani hakujua kama ana maadui wengi!? Hakujua kama atakutana na kejeli!? Yan watu wengne sjui huwa mnatumia nn kufikiria jmn khaa! Hapo hakuna kitu kipya shortly they saw all these freaks coming ahead.Mama kayatimba kumteua konda kuwa mwenezi, ana maadui wengi watamzonga sn kwa maswali na ghiliba za namna hiyo atashindwa kufanya kazi zake vizuri hana mamlaka ya kuagiza vyombo vya dola kuwashikisha adabu wasio mtii...
Maadui wa ndani na nje ya chama chake wameshajua hana kifua cha kuvumilia kejeli wataenda nae kwa style hiyo mpaka kazi imshinde...ataanguka hataweza kufanya kazi zake sawasawa. Mamlaka yake ya uteuzi I'm imwondee mapema kwenye nafasi hiyo kabla mambo hayajaharibika.
Wakimzonga Makonda,Mama anapumuaMama kayatimba kumteua konda kuwa mwenezi, ana maadui wengi watamzonga sn kwa maswali na ghiliba za namna hiyo atashindwa kufanya kazi zake vizuri hana mamlaka ya kuagiza vyombo vya dola kuwashikisha adabu wasio mtii...
Maadui wa ndani na nje ya chama chake wameshajua hana kifua cha kuvumilia kejeli wataenda nae kwa style hiyo mpaka kazi imshinde...ataanguka hataweza kufanya kazi zake sawasawa. Mamlaka yake ya uteuzi I'm imwondee mapema kwenye nafasi hiyo kabla mambo hayajaharibika.
Chadema ni mapimbiMakonda ni muhuni muhuni ambae anakutana na wapumbavu anaowadanganya kumpa madaraka.
Sikushangai kwani una kila dalili ya uchawa“Anachojiona…” sio kwamba wewe ndio unamuona hivyo na maono yako ndio yanakujaza gas ya hofu?
Sikushangai kwani una kila dalili ya uchawa
Wewe wasema!Mama kayatimba kumteua konda kuwa mwenezi, ana maadui wengi watamzonga sn kwa maswali na ghiliba za namna hiyo atashindwa kufanya kazi zake vizuri hana mamlaka ya kuagiza vyombo vya dola kuwashikisha adabu wasio mtii...
Maadui wa ndani na nje ya chama chake wameshajua hana kifua cha kuvumilia kejeli wataenda nae kwa style hiyo mpaka kazi imshinde...ataanguka hataweza kufanya kazi zake sawasawa. Mamlaka yake ya uteuzi I'm imwondee mapema kwenye nafasi hiyo kabla mambo hayajaharibika.
Imwache tumhoji vizuri mwizi wetu, ili kesi ikianza baadae wajikaange vizuri kwa matamko yaoMama kayatimba kumteua konda kuwa mwenezi, ana maadui wengi watamzonga sn kwa maswali na ghiliba za namna hiyo atashindwa kufanya kazi zake vizuri hana mamlaka ya kuagiza vyombo vya dola kuwashikisha adabu wasio mtii...
Maadui wa ndani na nje ya chama chake wameshajua hana kifua cha kuvumilia kejeli wataenda nae kwa style hiyo mpaka kazi imshinde...ataanguka hataweza kufanya kazi zake sawasawa. Mamlaka yake ya uteuzi I'm imwondee mapema kwenye nafasi hiyo kabla mambo hayajaharibika.
Makonda ni kipenzi cha mama, hagusikini mavi tu huyo, mshenzi alishazikwa
Kazi ya kuthibitisha tuhuma za jinai ni ya Jamhuri na siyo mwananchi. Mwananchi anakuwa shahidi tu.Huyo muhanga kisha wataja wangapi kwa tuhuma hizo hizo mpaka sasa?
Uungwana hufanyiwa waungwana, wahuni ufaidi uhuni.
Mtazamo wako hauwezi kuwa Sawa na wake kuhusu unyama ama ubinaadam kwenye tukio lolote.
Unapotuhumu mtu ni kazi yako wewe mtoa tuhuma kuthibitisha pasipo shaka tuhuma zako dhidi yake na sio kazi ya mtuhumiwa kutumia muda wake kukanusha tuhuma zako.
..Aliye mteuwa akajiangalie kwenye KIOO....
Jibu la kipuuzi sana kwa swali la kipuuzi sanaaaMakonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.