Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Nukta, Tutajua wahusika watajichora wenyewe nukta nundu..Makonda is the odd one kwasababu kwa tukio kama lile chain of command inakuwa nimekwenda nje kidogo.
..Mwanzoni Polisi walikuwa wanadai wameshindwa kuchunguza kwasababu Lissu amekimbia nchini.
..Madai hayo yamethibitika kuwa ni uongo. Lissu amekuwepo nchini. Na amefika mara kadhaa ktk vituo vya Polisi. Juzi tu Lissu aliitwa Polisi kuandika maelezo kuhusu mkutano alioufanya maeneo ya Loliondo.
Jinai haiozi, ni swala la muda tu.Makonda ni kipenzi cha mama, hagusiki
Damu ya msaliti wa taifaDamu ya Lisu imemleta Makonda hadharani ili imdhalilishe
Kamsaliti mama yakoDamu ya msaliti wa taifa
Ukishadhulumu uhai wa watu, akili na hekima hupotea. Unabakia kuwa hayawani mara uparamie punda, mara malori, mara baiskeli, kesho utasikia ameingia mkutanoni akiwa amepanda nguruwe, fisi au ngiri.Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
Na bila shaka angekuwa alikwishahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kupanga na kusimamia mauajibya Ben na Azor.Makonda tungekuwa na utawala bora angekuwa magereza kitambo sn
Mkuu pole sana kwa maumivu unayoyapata dhidi ya Chadema. Hapa tunajadili kauli ya Konda Boy dhidi ya Mwandishi wa Habri. Hapa Viongozi wa Chadema wanaingiaje???Kweli watu wenye tuhuma kuhusu elimu ni ngumu kuwa viongozi wazuri. Pale CHADEMA kuna matatizo makubwa zaidi kwa sababu viongozi wa juu karibu wote wana elimu duni. Mwenyekiti anatajwa kupata sifuri form six, huku Lema akitajwa kuishia kidato cha pili. Sugu ndo msomi pekee ambaye elimu yake imenyooka ya kidato cha nne.
Sasa si atumie jina lake halisi la Daudi Albert Bashite!!Kuwa Kiongozi Hakuhitaji Vyeti Wala Phd Ni Uzalendo Na Ujasiri Simtetei Makonda Ila Narekebisha Ulichokariri
Basi TISS imejaa mbumbumbu na mafalaWaandishi wengi ni tiss,kwa namna nyingine ccm ni bwana wao.hilo haliwezekani.
Naunga mkono hoja 👍👏Ukishadhulumu uhai wa watu, akili na hekima hupotea. Unabakia kuwa hayawani mara uparamie punda, mara malori, mara baiskeli, kesho utasikia ameingia mkutanoni akiwa amepanda nguruwe, fisi au ngiri.
Mama yako ni mke wanguKamsaliti mama yako
Naunga mkono hojaSasa si atumie jina lake halisi la Daudi Albert Bashite!!
Hapa siyo suala la Saed Kubenea peke yake. Ni suala la ukosefu wa maadili na dharau kwa waandishi wa habari wote.Saed Kubenea wa mwana halisi anasitahiri hilo jibu kwa sababu alishasema pia kuwa wanaomtafuta Ben Saanane wakamuulize Mbowe
Huyo ni chawa hajitambuiMkuu pole sana kwa maumivu unayoyapata dhidi ya Chadema. Hapa tunajadili kauli ya Konda Boy dhidi ya Mwandishi wa Habri. Hapa Viongozi wa Chadema wanaingiaje???