Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

..Makonda is the odd one kwasababu kwa tukio kama lile chain of command inakuwa nimekwenda nje kidogo.

..Mwanzoni Polisi walikuwa wanadai wameshindwa kuchunguza kwasababu Lissu amekimbia nchini.

..Madai hayo yamethibitika kuwa ni uongo. Lissu amekuwepo nchini. Na amefika mara kadhaa ktk vituo vya Polisi. Juzi tu Lissu aliitwa Polisi kuandika maelezo kuhusu mkutano alioufanya maeneo ya Loliondo.
Nukta, Tutajua wahusika watajichora wenyewe nukta nundu
 
Nitawaona mazuzu, mashubwada, mnaojikomba na kulamba makalio ya viongozi wa viongozi ili kupata uteuzi endapo mtaendelea kutoa habari zinazohusu ccm.

Makonda amesema muwe mnaenda kuwahoji mama zenu. Hili ni tusi la nguoni kwa waandishi wote.

N.B. Msikubali
 
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO

Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Damu ya mtu ni nzito bana.

Ukishadhulumu uhai wa watu, akili na hekima hupotea. Unabakia kuwa hayawani mara uparamie punda, mara malori, mara baiskeli, kesho utasikia ameingia mkutanoni akiwa amepanda nguruwe, fisi au ngiri.
 
Waandishi wengi ni tiss,kwa namna nyingine ccm ni bwana wao.hilo haliwezekani.
 
Kweli watu wenye tuhuma kuhusu elimu ni ngumu kuwa viongozi wazuri. Pale CHADEMA kuna matatizo makubwa zaidi kwa sababu viongozi wa juu karibu wote wana elimu duni. Mwenyekiti anatajwa kupata sifuri form six, huku Lema akitajwa kuishia kidato cha pili. Sugu ndo msomi pekee ambaye elimu yake imenyooka ya kidato cha nne.
Mkuu pole sana kwa maumivu unayoyapata dhidi ya Chadema. Hapa tunajadili kauli ya Konda Boy dhidi ya Mwandishi wa Habri. Hapa Viongozi wa Chadema wanaingiaje???
 
Saed Kubenea wa mwana halisi anasitahiri hilo jibu kwa sababu alishasema pia kuwa wanaomtafuta Ben Saanane wakamuulize Mbowe
 
Ukishadhulumu uhai wa watu, akili na hekima hupotea. Unabakia kuwa hayawani mara uparamie punda, mara malori, mara baiskeli, kesho utasikia ameingia mkutanoni akiwa amepanda nguruwe, fisi au ngiri.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Saed Kubenea wa mwana halisi anasitahiri hilo jibu kwa sababu alishasema pia kuwa wanaomtafuta Ben Saanane wakamuulize Mbowe
 
Saed Kubenea wa mwana halisi anasitahiri hilo jibu kwa sababu alishasema pia kuwa wanaomtafuta Ben Saanane wakamuulize Mbowe
Hapa siyo suala la Saed Kubenea peke yake. Ni suala la ukosefu wa maadili na dharau kwa waandishi wa habari wote.
 
Back
Top Bottom