Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Nukta, Tutajua wahusika watajichora wenyewe nukta nundu..Makonda is the odd one kwasababu kwa tukio kama lile chain of command inakuwa nimekwenda nje kidogo.
..Mwanzoni Polisi walikuwa wanadai wameshindwa kuchunguza kwasababu Lissu amekimbia nchini.
..Madai hayo yamethibitika kuwa ni uongo. Lissu amekuwepo nchini. Na amefika mara kadhaa ktk vituo vya Polisi. Juzi tu Lissu aliitwa Polisi kuandika maelezo kuhusu mkutano alioufanya maeneo ya Loliondo.