Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Kumbe aliwadhulumu mpaka ndugu zake hela ya mirathi ya baba yake?
 
Makonda alifika hapa Butiama jana. Alilala hapa kwenye motel.
Anasema alipolala hapa ameota ndoto nzuri.
Mimi sikumuona. Nilienda matembezi.
Amefika kwemye ardhi ya Baba yetu wa Taifa. Safi kwa Makonda. Nikipata muda nitatembelea Butihama.

Ila wewe Andrew miyeyusho mno. Kwa nini ulienda matembezi sasa mkuu?
 

“Nadhani Lissu kumtaja PCM kuhusika na shambulizi lake ni mbinu ya kuuzima moto wa PCM unaowaka nchi nzima na kubadili mwelekeo wa siasa nchini.”




Ahsante. Wewe umeiona ajenda ikiwa mbichi kabisa.
 
Kama kweli Makonda kajibu hivi inavyodaiwa basi ni kitu cha kusikitisha sana kwa kiongozi ngazi yake kutoweza kudhibiti hasira zake.
 
..aliyezungumzia mahakama ya kimataifa ni wewe kwasababu nime-quote post yako.

..labda una tatizo la kumbukumbu, au una ID nyingi hapa jukwaani, na hiyo inasababisha ushindwe kukumbuka unacho-post.🤣
Kwahiyo mimi ni Tindo kwa ID nyengine sio?
 
Endelea kujua.

Unajitengenezea jinamizi kichwani mwako halafu unaanza kupigia watu kelele?

Kuna taarifa Milembe kufungua matawi yao nchi nzima, zitafute zitakufaa.
Mzee wako kauza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe
 
Kunguru hafugiki, ipo siku atapanda juu ya meza pele jirani na FERRY.
 
Hivi chief Hangaya anaona kumteua Bashite ndio kauweza mchezo wa siasa? 🙄
Kwa matusi mliyomshushia kwenye ishu ya bandari ana haki now ya kumteua yeyote anayefeel ni sawa kwake, mlimkosea heshima sanaaaa, Soon Sabaya naye anarudi maana siasa za ustaarabu alizotaka Hangaya wahuni wa upande ule hawaziwezi, THEY THRIVE TO CHAOS
 
Kama Jiwe alishindwa kumfuga huyu kunguru, je mama atamuweza?? Ni suala la muda.
 
Huyu mwandishi mjinga sana tena sana. Na tena inatakiwa ashughulikiwe tujue ana cheti halali cha uandishi. Wewe Lisu mwenyewe alishasema Dkt Magufuli alituma watu wakamuue halafu tena wewe mwandishi unaenda kumuuliza mtu mwingine ni akili kweli??!
Ila hii dunia, unaweza kuta kuna watu wanakuita baba
 
Elewa maana ya maswali chokozi.. yaani unauliza sio upate jibu, la!.. unauliza ili kupima reactions za mtoa jibu.... Pongezi sana kwa Mwandishi
 
Na itamtafuna mpaka hata waliompa cheo hicho
Panicking answers always speak volumes!! Why u gotta panicking?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…