ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Idiot, Makonda is there to stay! Nyie wajinga na mbinu zenu za kijinga. Muulizeni huyo mwandishi wenu mjinga mjinga ni lini alimhoji mbowe kuhusika na kuuawa kwa Mawazo, chach wangwe, kupotea kwa ben saa nane? Tunajua mbowe ndiye alimuua chacha wangwe na ndiye alimuua mawazo na ushahidi ni zito kukimbia hicho chama mfu akiogopa kuuawa na genge la muuaji gaidi mbowe.Makonda atakimbia Majukwaani muda si mrefu , kawekewa chambo kameza ndoano , Kwisha habari yake
Huyu mwandishi afungiwe kabisa ni muhuniMakonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
Huyo muhanga kisha wataja wangapi kwa tuhuma hizo hizo mpaka sasa?
Uungwana hufanyiwa waungwana, wahuni ufaidi uhuni.
Mtazamo wako hauwezi kuwa Sawa na wake kuhusu unyama ama ubinaadam kwenye tukio lolote.
Unapotuhumu mtu ni kazi yako wewe mtoa tuhuma kuthibitisha pasipo shaka tuhuma zako dhidi yake na sio kazi ya mtuhumiwa kutumia muda wake kukanusha tuhuma zako.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa tusikie Mwandishi huyo ametekwa, PATACHIMBIKA!
Hata mbowe katajwa..mhanga amemtaja Magufuli, Kipilimba, na Makonda.
..kuna mambo tunaweza kutofautiana kwasababu mbalimbali.
..lakini kwenye suala la ubinadamu, na kulinda uhai wa mtu, sote tunakuwa kitu kimoja.
Kumtania?! Wewe Una utani na Makonda? Kuanzia lini?
Unadhalilisha utu wa mtu halafu unauita utani??
Hiyo busara mnayotaka Makonda aitumie ninyi mmeitumia kwa kiasi gani?
Uwepo wa Makonda unafanya tunawaona rangi zenu halisi.
Hata mbowe katajwa
Please get it. Mwandishi hakuuliza hilo swali kama habari ngeni, mpya. Alikuwa anamfikishia Makonda tuhuma nzito kumhusu ambazo tayari zimewasilishwa kwa jamii (public) na mhanga Tundu Lissu kupitia vyombo vya habari.MTU ALIYE MUULIZA KAKOSEA KUULIZA KAENDA DIRECTY HAKUNA MTU MWENYE AKILI KAMA MAKONDA ANAWEZA KUJIBU UTUMBO HUO
Ahojiwe mpaka kupote ben..Mbowe naye ahojiwe.
..Na sitarajii atoe majibu ya kihuni'huni.
Anahitajika mtu kukata hiyo ngebe!Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
..suala la Makalio ya Makonda ni utani.
..suala la Mtanzania mwenzetu kupigwa risasi ktk eneo la serikali na hatua kutokuchukuliwa is a serious matter.
Wapinge ili ulaji wao ukatwe?[emoji3]Sasa mbona tunamshambulia Makonda kuliko hao wenye mamlaka ya uteuzi?! Watu wanaotakiwa kuumia zaidi ni wanachama wa CCM, wajitokeze wapinge uteuzi wake.
Kwa kelele hizi kutoka kwa mahasimu wao kisiasa watajivuna uteuzi wao ni sahihi hata kama una madhara.
Hakuna utani kwenye maumbile ya mtu ambayo hata yeye hakuchagua kuumbwa hivyo.
Hizo hatua anatakiwa achukue Makonda? Ameanza lini kuwa IGP?
Huyu chawa wa kuuza bandari ndio mnamsikiliza? Mwenyewe lissu kwa kauli yake hajui nani aliyompiga risasi. Amekua akisema ni magufuli wakati magufuli kama rais atokee wapi kwenda kumpiga yeye risasi. Kama ni makonda wapi na wapi. Wala hata siku moja lissu hajawahi kutoa ushahidi wowote kuwepo njama ya serikali ya magufuli kumpiga risasi. Na serikali wamesema enzi hizo za jpm usalama kama wangetaka kummaliza lissu wasingekosea hadi kupiga risasi zote hizo hadi lissu anajidai nazo. Kwa hivyo lissu aseme tu nani walimlenga maana hakukosa maadui binafsi maana waliyo karibu wanadai alikua na mission mbalimbali na hata ndani ya chadema alikua na maadui wa kuweza kumtoa roho.Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
..mhanga amemtaja Magufuli, Kipilimba, na Makonda.
..kuna mambo tunaweza kutofautiana kwasababu mbalimbali.
..lakini kwenye suala la ubinadamu, na kulinda uhai wa mtu, sote tunakuwa kitu kimoja.
Usilinganishe hekima ya Nyerere na upumbavu. Nyerere hakupigania mfumo wa vyama vingi urudi ili Watanzania tuuane sisi kwa sisi.An eye for an eye. Ukiuliza maswali ya kipumbavu, utapata majibu yanayoendana na maswali yako. Kumbuka majibu ya Mwl. Nyerere akiwa Uwanja wa Ndege pale Nairobi enzi akiwa Rais. Kama hujui gugu!!
Yea, hakutegemea kuulizwa swali kama lile hasa kipindi hiki anachojiona kama naibu raisAmethibitisha uhusika wake kwa kumwambia muandishi akamuhoji mama yake?
..Makonda hana busara ndio maana ameshindwa kujibu swali ambalo wengi tulitarajia ataulizwa.
..Kama Makonda anaweza kumuamuru Waziri Mkuu, basi bila shaka anaweza kumuamuru IGP.
..Na majuzi Makonda ameamuru Polisi kuachilia pikipiki zote walizokamata maeneo ya Geita[ kama sijakosea]. Huo ni ushahidi kuwa Makonda anaweza kumpa maagizo IGP.
Kwa hiyo anaweza kutekwa!?Hawa Waandishi wengine Huwa wanajitafutia matatizo wenyewe.Ukiwa unasomea udreva unaambiwa Ukiona kuwa unaweza kuzuia ajari jitahidi uizuie hata kama wewe utakuwa upande sahihi.
Yea, hakutegemea kuulizwa swali kama lile hasa kipindi hiki anachojiona kama naibu rais