spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Anachezesha wire na anajua protective gear zake ni unga unga mwanaHawa Waandishi wengine Huwa wanajitafutia matatizo wenyewe.Ukiwa unasomea udreva unaambiwa Ukiona kuwa unaweza kuzuia ajari jitahidi uizuie hata kama wewe utakuwa upande sahihi.