Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Natoa angalizo hili mapema ili tusije kuchafua amani kizembe.
Mwanasiasa aliyekomaa anapokuwa Majukwaani ni lazima akubali kuhojiwa na kuulizwa maswali, Ukijifanya unapokea kero, ni lazima ukubali pia kuulizwa.
Kwamba 'KAMHOJI MAMA YAKO' haiwezi kuwa kauli kutoka kwa kiongozi Makini, tena wa Chama kizee kama CCM.
Sasa tusikie Mwandishi huyo ametekwa, PATACHIMBIKA!