Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Natoa angalizo hili mapema ili tusije kuchafua amani kizembe.

Mwanasiasa aliyekomaa anapokuwa Majukwaani ni lazima akubali kuhojiwa na kuulizwa maswali, Ukijifanya unapokea kero, ni lazima ukubali pia kuulizwa.

Kwamba 'KAMHOJI MAMA YAKO' haiwezi kuwa kauli kutoka kwa kiongozi Makini, tena wa Chama kizee kama CCM.

Sasa tusikie Mwandishi huyo ametekwa, PATACHIMBIKA!
na kweli makonda atamuua, Samia will be to blame
 
Siku hizi Kila mtu ni mwandishi ndiyo maana habari nyingi za sikuhizi lazima utumie akili nyingi kuelewa! Mwandishi aliyena akili timamu huwezi uliza swali la kihuni kama Hilo ndiyo maana makonda kamjibu kihuni ! Mwandishi pole sana maswali hayo muulize lisu yeye ndiye anayejuwa waliompiga risasi huyo atakujibu vizuri na umuulize nini kilichopelekea kutoenda kuandikwa maelezo juu ya tukio polisi yeye atakwambia na mambo mengine kadhaa utayapata huko kwa mapolisi.
 
Ndio jibu alilopaswa kupewa huyo muandishi! Kwa hiyo kama ni kweli huyo Muandishi alitegemea apate jibu la ndio kutoka kwa makonda!

Mimi naongezea na akamuhoji na baba yake…..
Safi sana. Hayo ndio majibu wanayotakiwa kupewa watu wapumbavu!
 
Ndio jibu alilopaswa kupewa huyo muandishi! Kwa hiyo kama ni kweli huyo Muandishi alitegemea apate jibu la ndio kutoka kwa makonda!

Mimi naongezea na akamuhoji na baba yake…..

..hapana.

..Makonda hakutakiwa kumtusi mwandishi aliteuliwa swali.

..Makonda alipaswa kuwa muungwana na kujibu kuwa hakuhusika na tukio hilo.
 
..mtu mpumbavu ndiye anayetukana akiulizwa maswali. Kiongozi wa umma anatakiwa awe na busara na heshima kwa watu wote.
An eye for an eye. Ukiuliza maswali ya kipumbavu, utapata majibu yanayoendana na maswali yako. Kumbuka majibu ya Mwl. Nyerere akiwa Uwanja wa Ndege pale Nairobi enzi akiwa Rais. Kama hujui gugu!!
 
..hapana.

..Makonda hakutakiwa kumtusi mwandishi aliteuliwa swali.

..Makonda alipaswa kuwa muungwana na kujibu kuwa hakuhusika na tukio hilo.
Sasa nani alimshambulia Lissu ni Makonda au Magufuli? Mwandishi kwanini hajakwenda kwa Mama Magufuli(Mama Janet) kumuhoji kuhusu tuhuma juu ya mumewe ?😂😂😂
 
Ndio jibu alilopaswa kupewa huyo muandishi! Kwa hiyo kama ni kweli huyo Muandishi alitegemea apate jibu la ndio kutoka kwa makonda!

Mimi naongezea na akamuhoji na baba yake…..
Waandishi hawa uchwara wameshazoea kuhoji udaku wa kina gigy money size yake tu!
 
Sasa, kama kweli kiongozi anaweza kujibu ovyo kihivo, msanii akaimba pumba zake, mwalimu mkuu akavuliwa cheo kisa mwanafunzi kacheza pumba za msanii kisa maadili hana,kiongozi wake malezi na hekima ndo hamna, mnategemea nini!
 
Back
Top Bottom