Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Makonda atakimbia Majukwaani muda si mrefu , kawekewa chambo kameza ndoano , Kwisha habari yake
Idiot, Makonda is there to stay! Nyie wajinga na mbinu zenu za kijinga. Muulizeni huyo mwandishi wenu mjinga mjinga ni lini alimhoji mbowe kuhusika na kuuawa kwa Mawazo, chach wangwe, kupotea kwa ben saa nane? Tunajua mbowe ndiye alimuua chacha wangwe na ndiye alimuua mawazo na ushahidi ni zito kukimbia hicho chama mfu akiogopa kuuawa na genge la muuaji gaidi mbowe.
 
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO

Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Damu ya mtu ni nzito bana.

Huyu mwandishi afungiwe kabisa ni muhuni
 
Huyo muhanga kisha wataja wangapi kwa tuhuma hizo hizo mpaka sasa?

Uungwana hufanyiwa waungwana, wahuni ufaidi uhuni.

Mtazamo wako hauwezi kuwa Sawa na wake kuhusu unyama ama ubinaadam kwenye tukio lolote.

Unapotuhumu mtu ni kazi yako wewe mtoa tuhuma kuthibitisha pasipo shaka tuhuma zako dhidi yake na sio kazi ya mtuhumiwa kutumia muda wake kukanusha tuhuma zako.

..mhanga amemtaja Magufuli, Kipilimba, na Makonda.

..kuna mambo tunaweza kutofautiana kwasababu mbalimbali.

..lakini kwenye suala la ubinadamu, na kulinda uhai wa mtu, sote tunakuwa kitu kimoja.
 
Kumtania?! Wewe Una utani na Makonda? Kuanzia lini?

Unadhalilisha utu wa mtu halafu unauita utani??

Hiyo busara mnayotaka Makonda aitumie ninyi mmeitumia kwa kiasi gani?

Uwepo wa Makonda unafanya tunawaona rangi zenu halisi.

..suala la Makalio ya Makonda ni utani.

..suala la Mtanzania mwenzetu kupigwa risasi ktk eneo la serikali na hatua kutokuchukuliwa is a serious matter.
 
MTU ALIYE MUULIZA KAKOSEA KUULIZA KAENDA DIRECTY HAKUNA MTU MWENYE AKILI KAMA MAKONDA ANAWEZA KUJIBU UTUMBO HUO
Please get it. Mwandishi hakuuliza hilo swali kama habari ngeni, mpya. Alikuwa anamfikishia Makonda tuhuma nzito kumhusu ambazo tayari zimewasilishwa kwa jamii (public) na mhanga Tundu Lissu kupitia vyombo vya habari.

It is already public knowledge. Hakuna kujidanganya. Kila anapopita na kuongea hadharani ajue kuna jamii kubwa inajiuliza kuhusu uhusika wake katika risasi za Lissu na, hivyo, usafi wake kisiasa. Ni swali ambalo bado linaning’inia katika jamii hasa kwa vile miaka imepita bila serikali (polisi, DPP) kuchukua hatua yoyote ya kisheria kuondoa utata.

Aidha, Tundu Lissu aliyeweka tuhuma hizo hadharani hajawahi kuchukuliwa hatua kwa upotoshaji wala kuchafua watu binafsi na serikali kwa kauli zake mubashara. Na ni kauli ambazo ziko kwenye kumbukumbu za maandishi na sauti na picha rasmi.

Kwa vile anayetuhumiwa ni mwanasiasa active, taaluma ya uandishi wa habari inadai mtuhumiwa anapopanda katika majukwaa ya kisiasa lazima aulizwe hilo swali ili kuondoa shaka kuhusu usafi wake kisiasa kiasi cha kustahili kupewa nafasi ya kitaifa kwenye fani hiyo. Hiyo huwa fursa maalum ya yeye kujiswafi kisiasa. Ni moja ya kanuni kuu za professional journalism.

The guy needs to be advised to just play humble and apply a bit of wisdom.
 
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO

Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Damu ya mtu ni nzito bana.

Anahitajika mtu kukata hiyo ngebe!
 
Hakuna utani kwenye maumbile ya mtu ambayo hata yeye hakuchagua kuumbwa hivyo.

Hizo hatua anatakiwa achukue Makonda? Ameanza lini kuwa IGP?

..Makonda hana busara ndio maana ameshindwa kujibu swali ambalo wengi tulitarajia ataulizwa.

..Kama Makonda anaweza kumuamuru Waziri Mkuu, basi bila shaka anaweza kumuamuru IGP.

..Na majuzi Makonda ameamuru Polisi kuachilia pikipiki zote walizokamata maeneo ya Geita[ kama sijakosea]. Huo ni ushahidi kuwa Makonda anaweza kumpa maagizo IGP.
 
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO

Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Damu ya mtu ni nzito bana.

Huyu chawa wa kuuza bandari ndio mnamsikiliza? Mwenyewe lissu kwa kauli yake hajui nani aliyompiga risasi. Amekua akisema ni magufuli wakati magufuli kama rais atokee wapi kwenda kumpiga yeye risasi. Kama ni makonda wapi na wapi. Wala hata siku moja lissu hajawahi kutoa ushahidi wowote kuwepo njama ya serikali ya magufuli kumpiga risasi. Na serikali wamesema enzi hizo za jpm usalama kama wangetaka kummaliza lissu wasingekosea hadi kupiga risasi zote hizo hadi lissu anajidai nazo. Kwa hivyo lissu aseme tu nani walimlenga maana hakukosa maadui binafsi maana waliyo karibu wanadai alikua na mission mbalimbali na hata ndani ya chadema alikua na maadui wa kuweza kumtoa roho.
 
..mhanga amemtaja Magufuli, Kipilimba, na Makonda.

..kuna mambo tunaweza kutofautiana kwasababu mbalimbali.

..lakini kwenye suala la ubinadamu, na kulinda uhai wa mtu, sote tunakuwa kitu kimoja.

Muhanga kumtaja kila mmoja anaemuhisi kuhusika bila uthibitisho usio na shaka ndani yake ndio suluhu ?

“Lakini kwenye suala la ubinaadam na kulinda uhai wa mtu wote tunakua kitu kimoja…..”

Kwahiyo ubinaadam ni upi kwenye kudhalilisha utu wa mtu?
 
An eye for an eye. Ukiuliza maswali ya kipumbavu, utapata majibu yanayoendana na maswali yako. Kumbuka majibu ya Mwl. Nyerere akiwa Uwanja wa Ndege pale Nairobi enzi akiwa Rais. Kama hujui gugu!!
Usilinganishe hekima ya Nyerere na upumbavu. Nyerere hakupigania mfumo wa vyama vingi urudi ili Watanzania tuuane sisi kwa sisi.
 
..Makonda hana busara ndio maana ameshindwa kujibu swali ambalo wengi tulitarajia ataulizwa.

..Kama Makonda anaweza kumuamuru Waziri Mkuu, basi bila shaka anaweza kumuamuru IGP.

..Na majuzi Makonda ameamuru Polisi kuachilia pikipiki zote walizokamata maeneo ya Geita[ kama sijakosea]. Huo ni ushahidi kuwa Makonda anaweza kumpa maagizo IGP.

‘wengi tulitarajia ataulizwa…..’

Basi amefanya sahihi kutoa hilo jibu maana mpaka hapa ni dhahiri huyo muandishi alitumwa na nyie wengi.

Unaelewa tafsiri ya kuamuru?

Hiyo ya pikipiki kubeba magendo mipakani wote tumemsikia vizuri na kuwasoma watoa taarifa humu ndani, hakuna amri kwenye yale matamshi ila maelekezo na suggestions za kumaliza migogoro huku pande zote zikipata stahiki zao.
 
Back
Top Bottom