Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Ifike mahali vyuo vilivyowapa vyeti vya kitaaluma watu kama huyu mwandishi wa habari (journalist), viwe vinatekeleza mamlaka yake ya kuvichukua (withdraw) vyeti vyao.

Eti hiyo ndiyo investigative journalism aliyokuwa anafanya huyo mwanahabari. Yaani kuwe na fununu kwamba mtu fulani kageda mke wa jamaa fulani, yeye investigative journalist anaenda kumhoji huyo mhisiwa aseme kama ni kweli aligeda huyo mke wa mtu. Eti hiyo ndiyo investigative journalism aliyosomea. Halafu akijibiwa "swali hilo kamhoji mama yako", anashindwa kuelewa kuwa jibu hilo ni la lugha ya kistaarabu linalomaanisha "........... ya mama ...ako". Na bado alivyo bwege anakuja kuliandika jibu hilo kama ni habari. Yaani hajui hata maana ya habari (news). Mbwa kuuma mtu siyo habari bali mtu kuuma mbwa ndiyo habari.
 
Team wasiojulikaana mmekasirika sana
 
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO

Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Damu ya mtu ni nzito bana.

Halafu hilo jibu mimi naona kama halitoshi kabisa.Angemuambia akamhoji Mama yake kijijini.
 
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO

Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Damu ya mtu ni nzito bana.

Mithali 26:4
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; <br>Usije ukafanana naye.

Mithali 26:5
Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; <br>Asije akawa mwenye hekima machoni pake. Makonda kafanya la maana maana huyu mwandishi ni mpuuzi tu watu wanapeleka kero yeye anauliza upuuzi.Lissu aliisha sema aliyempiga risasi ni Magufuli dunia mzima inajua maana aliiyangazia dunia kupitia vyombo vyote vya habari,leo huyu mwandishi uchwa anakuja kuuliza swali la kipuuzi kama hilo.
 
Natoa angalizo hili mapema ili tusije kuchafua amani kizembe.

Mwanasiasa aliyekomaa anapokuwa Majukwaani ni lazima akubali kuhojiwa na kuulizwa maswali, Ukijifanya unapokea kero, ni lazima ukubali pia kuulizwa.

Kwamba 'KAMHOJI MAMA YAKO' haiwezi kuwa kauli kutoka kwa kiongozi Makini, tena wa Chama kizee kama CCM.

Sasa tusikie Mwandishi huyo ametekwa, PATACHIMBIKA!
kamuulize mama yako
 
Tuliwanyang'anya wabunge woooote chama mfuuu hicho cha nn takataka faaraaaa kabisa misukule ya Mbowe nyie
Lile Jizi lenu linalolilia Ikulu toka enzi za 92 mpaka leo limewaweka mfukoni limekula hela za ruzuku likajengea watoto wake apartments Dubai hela za nyumbu wajinga limeiba hela za wanachama kwa mgongo wa operations na kuwachangisha nyumbu na pia haitoshi limedhulumu hela za mirathi za marehemu baba yake limeua na kutesa watu wengi libakie kwenye uenyekiti na limeteka Ben saanane na kumuua Wangwe acheni ushenzi nyie misukule wa makengeze madalali
Kila siku siyo Jumapili , halafu yule mshamba aliyefanya hivyo yuko wapi leo ?
 
Please get it. Mwandishi hakuuliza hilo swali kama habari ngeni, mpya. Alikuwa anamfikishia Makonda tuhuma nzito kumhusu ambazo tayari zimewasilishwa kwa jamii (public) na mhanga Tundu Lissu kupitia vyombo vya habari.

It is already public knowledge. Hakuna kujidanganya. Kila anapopita na kuongea hadharani ajue kuna jamii kubwa inajiuliza kuhusu uhusika wake katika risasi za Lissu na, hivyo, usafi wake kisiasa. Ni swali ambalo bado linaning’inia katika jamii hasa kwa vile miaka imepita bila serikali (polisi, DPP) kuchukua hatua yoyote ya kisheria kuondoa utata.

Aidha, Tundu Lissu aliyeweka tuhuma hizo hadharani hajawahi kuchukuliwa hatua kwa upotoshaji wala kuchafua watu binafsi na serikali kwa kauli zake mubashara. Na ni kauli ambazo ziko kwenye kumbukumbu za maandishi na sauti na picha rasmi.

Kwa vile anayetuhumiwa ni mwanasiasa active, taaluma ya uandishi wa habari inadai mtuhumiwa anapopanda katika majukwaa ya kisiasa lazima aulizwe hilo swali ili kuondoa shaka kuhusu usafi wake kisiasa kiasi cha kustahili kupewa nafasi ya kitaifa kwenye fani hiyo. Hiyo huwa fursa maalum ya yeye kujiswafi kisiasa. Ni moja ya kanuni kuu za professional journalism.

The guy needs to be advised to just play humble and apply a bit of wisdom.
ujibu kichaaa
 
Ukishadhulumu uhai wa watu, akili na hekima hupotea. Unabakia kuwa hayawani mara uparamie punda, mara malori, mara baiskeli, kesho utasikia ameingia mkutanoni akiwa amepanda nguruwe, fisi au ngiri.
Tuliwanyang'anya wabunge woooote chama mfuuu hicho cha nn takataka faaraaaa kabisa misukule ya Mbowe nyie
Lile Jizi lenu linalolilia Ikulu toka enzi za 92 mpaka leo limewaweka mfukoni limekula hela za ruzuku likajengea watoto wake apartments Dubai hela za nyumbu wajinga limeiba hela za wanachama kwa mgongo wa operations na kuwachangisha nyumbu na pia haitoshi limedhulumu hela za mirathi za marehemu baba yake limeua na kutesa watu wengi libakie kwenye uenyekiti na limeteka Ben saanane na kumuua Wangwe acheni ushenzi nyie misukule wa makengeze madalali
 
1. Ni kweli alimpiga Lisu risasi 16?

2. Je, amewarudisha nyumba ya GSM aliyoipora?

3. Ashawaomba radhi Nape na mzee Warioba kwa uhuni aliowafanyia.

4. Asharudisha benzi la alilompora yule jamaa.

5. Marekani walim-label kama mkanyima haki wa watu kuishi (muuaji). Je, ashamalizana nao?
Tuliwanyang'anya wabunge woooote chama mfuuu hicho cha nn takataka faaraaaa kabisa misukule ya Mbowe nyie
Lile Jizi lenu linalolilia Ikulu toka enzi za 92 mpaka leo limewaweka mfukoni limekula hela za ruzuku likajengea watoto wake apartments Dubai hela za nyumbu wajinga limeiba hela za wanachama kwa mgongo wa operations na kuwachangisha nyumbu na pia haitoshi limedhulumu hela za mirathi za marehemu baba yake limeua na kutesa watu wengi libakie kwenye uenyekiti na limeteka Ben saanane na kumuua Wangwe acheni ushenzi nyie misukule wa makengeze madalali
 
Hao waliotumwa na magufuli Makonda ndio alikuwa kiongozi wa hilo. Makonda ni muhalifu, yaani ni mfungwa mtarajiwa.

Cc: Leak
Tuliwanyang'anya wabunge woooote chama mfuuu hicho cha nn takataka faaraaaa kabisa misukule ya Mbowe nyie
Lile Jizi lenu linalolilia Ikulu toka enzi za 92 mpaka leo limewaweka mfukoni limekula hela za ruzuku likajengea watoto wake apartments Dubai hela za nyumbu wajinga limeiba hela za wanachama kwa mgongo wa operations na kuwachangisha nyumbu na pia haitoshi limedhulumu hela za mirathi za marehemu baba yake limeua na kutesa watu wengi libakie kwenye uenyekiti na limeteka Ben saanane na kumuua Wangwe acheni ushenzi nyie misukule wa makengeze madalali
 
Mbona Pompeo alipomzuia kukanyaga States kwa vile ni muuaji na anatumia cheo kunyima haki hakumjibu akamzuie mama yake?
Yeye si mwenezi (cheo anachodhani kina mamlaka wakati ni MC tuu wa Chama) aende pale ubalozi wa Marekani
Aseme anataka kumwona Balozi tena alazimishe kama hawajamkamua samadi!

Back
Top Bottom