Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

KAMA JELA KUZURI MPELEKE MWANAO. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Tabia za hawa watani zangu wasukuma kupenda kizembe, ndizo zilimsababishia Kanu kujilegeeza aliposukumwa na Lulu hadi akaanguka kifwafwa!!
 
Kwa aliyewai kusoma tamthiliya ya THE GOD FATHER ya muandishi Mario Puzo atakuwa amemuelewa vizuri muheshimiwa,tafsiri avumilie kidogo anaingilia kati na mambo yatakuwa mazuri.
Ni story about the MAFIA ambapo God father alikuwa ashindwi kitu
Mkuu kwa heshima na taadhima usimfananishe bashite na don't carleon kabisa huyu choko sio mafya wala hafikii level ya mafya
 
Maana yake hamalizi hicho kifungo atatoka c muda mrefu
 
sentence nzito sana hii
 
Dah wakuu BASHITE haachaji VITUKO..dah huyu jamaa.
 
Lulu lazma atetewe kwa nguvu zote na wenye akili, no mattter aliua au la alikuwa anajitetea asibakwe.....

Naungana na Makonda kumtetea Lulu, mtu asiye na hatia anafungwa miaka miwili... Shubamitty
 
Hahahaha 4sure Dady is coming....

Look at how Dady is so powerful!!!!

Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
45-,(1)Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika ibara hii,Rais anaweza kutenda lolote kati ya mambo yafuatayo:-

(a) Kutoa msamaha kwa mtu yeyote aliyepatikana na hatia mbele ya mahakama kwa kosa lolote,na anaweza kutoa msamaha huo ama bila ya masharti au kwa masharti, kwa mujibu wa Sheria;

(b)Kumwachilia kabisa au kwa muda maalum mtu yeyote aliyehukumiwa kuadhibiwa kwaajili ya kosa lolote ili mtu huyo asitimize kabisa adhabu hiyo au asitimize adhabu hiyo wakati wa muda huo maalum;

(c)Kubadilisha adhabu yoyote aliyopewa mtu yeyote kwa kosa lolote iwe adhabu tahafifu;
~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~#Bashites Dady
 
mhhhh kila mwisho wa mwaka hususani 9-12-2017 uhuru day kuna msamaha wa rais yawezekana kamaanisha hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…