Paul Makonda amwambia Lulu "Dady is coming"

Dady akija itapendeza zaidi.Kwa sasa yuko mikoani.
 
Mkuu ameandika makonda unalalamika

Mbona kibatala kasema anaenda kukata rufaa haujasema chochote

Au kisa makonda ni kundi Fulani
Na kibatala ni kundi lenu

Tujue kila mtu ananafasi ya kuzungumza anacho amini kitamsaidia yeye na si wengine
Tatizo kabla ya kuanza kutumikia kifungo, .....msamaha umeanza kuafikiriwa? Kwani wangapi wamehukumiwa leo, na bado hata hawafikiriwi huo msamaha. Sheria zifanye kazi kwa kila mtu!
 
Bashite ndez sana apo linatafuta kiki tu maana ata utamu likipewa linabak kupigia pivha tu..ndezi sana hili
 
Sugar Daddy is coming. Huyo mtoto haendi kukaa jela. Anaenda kufichwa kwenye five star moja tuli anakula maisha miaka miwili hakuna atakaye jua
 
Huyu jamaa akisema atolewe siku fulani atatolewa tu,si inasemekana hata ushauri wa teuzi huwa anasikilizwa ,yaani bonge la mkuu wa mkoa Africa nzima,subiri Jenny Muro akichukua ukuu wa wilaya soon
 
Alimanisha Nyalandu anamfuata jela Lulu
 
Mmh makonda hapa kazidi khaa kila kona anaweka pua yake. Dady means mchepuko,bae or? Tangu lini ana ubaba na Lulu au ndo kanumba part two?
 
Mmh makonda hapa kazidi khaa kila kona anaweka pua yake. Dady means mchepuko,bae or? Tangu lini ana ubaba na Lulu au ndo kanumba part two?
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…