Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
- Thread starter
-
- #21
Kauli za msukule hizi kutoka ccm.hata akipunguza 20 inakuhusu nn? mwambie kaka yako na yeye apunguze.
mkuu nauliza tena, umemaliza?Shtuka wewe!Utajiunga bundle la wiki.Kuvimbiwa siyo mchezo.
umemaliza?Kauli za msukule hizi kutoka ccm.
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
CCM ni wajinga wa mwisho,Huwa wanakumbuka shuka asubuhi. Watampitishavna kuiba kuraHatopata ubunge this guy is cursed by God him self
Kusoma wote, kuajiriwa wote sio kigezo cha kuwa na umri sawa. Wapo niliomaliza nao shule wakati huo wakiwa na umri wa 20+ wakati huo mimi hata 15 nilikuwa sijafikaHuyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
🤔🤔🤔💭Hatopata ubunge this guy is cursed by God him self
🤣 🤣 🤣 🔊Gambo Acha unafiki
Unashangaa nini, jina analotumia tu si lake......hii serikali ya Mama Abdul ni majanga tupuHuyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Ndiyo ujinga wa macdm wanalalamika kwa vitu visivyo na msingi umri wa mtu kupunguzwa unakuathiri nini hasa??hata akipunguza 20 inakuhusu nn? mwambie kaka yako na yeye apunguze.
Mkisoma shule pamoja hasa za chini hizi ni rahisi kujua mwaka sema inategemeana ulipokua unasoma ulikua na umri gani ili pia ujue vitu vingine tofauti na vitabu vya Juma na Roza...Kusoma wote, kuajiriwa wote sio kigezo cha kuwa na umri sawa. Wapo niliomaliza nao shule wakati huo wakiwa na umri wa 20+ wakati huo mimi hata 15 nilikuwa sijafika
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana
Huyu jamaa vitu vyake vyake kufoji foji tupu ndio maana akili yake imeishia kwenye uchawa....hazimo. akawii kulia mkiendelea kumdai vyetiumri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Kwani Majaliwa ana miaka mingapi? ni kawaida kwa CCM kufoji umriHuyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Bashe atakuwa ni babu haswa sema yupo kwenye mfumoUnavyoona akili za Bashite na Wema Sepetu zina tofauti gani?
Kasoma na Kaka yako Kwa Jina ganiHuyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa