RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
"Haki kwa wote"utende kweli haki,Kuna file Moja pale mezani utalipitia,mchakato ulikua mrefu wenye kuvunja moyo Hadi Sasa manyoya"""Leve
Huo ndiyo ukweli kwani makonda kapunguza miaka yake au ya kwako?mijitu mingine ni -0%
Mkisoma Shule ya msingi ambayo sio MEMKWA pamoja hamuwezi kuachana sana umri. Ukimzidi sana mwenzio ni miaka 2Kusoma pamoja haimaanishi mnalingana umri kuna wengine waliongezewa na wazazi mwaka ili wawe shule mapema
Makonda hawezi kuwa na miaka 53 tumieni AKILI TIMAMU ya kawaida makonda hawezi kufika umri huo kwa sasa Yuko chini ya 53 mijadala mingine haina maana,uwezo wako wa kumuona mtu utakusaidia sana kuliokoa Taifa na kujua undani wa mambo.Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Ana akili gani zaidi ya uchawa na kufanya u marcenary (umalaya wa kisiasa) ili wakubwa wawe wanamtumia kwenye haramu....utekaji, propaganda etc kujitoa mhanga katika vitu vya hovyo ili mradi amfurahishe bosiTuwe wakweli hivi akili yako na ya makonda ni ipi iko juu ya nyingine?haya wewe mwenye akili na hujafojifoji unamzidi nini makonda??
I am sorry, my intention was not to offend you anyhow...sasa kama mm mvivu wa kusoma, nimesomaje hl gazet lako, halafu mkuu mbona tunaanza kutwezana utu, kuna sehemu nimekubagaza miye?
KOWTO[/QUOTE]KOWTOWI am sorry, my intention was not to offend you anyhow...
Nilikuwa nakusisitiza kuwa, jifunze kusoma hata maandishi mengi kama "gazeti" kama unavyoyaita wewe...
Nikakukumbusha kuwa, maarifa na ufahamu umefichwa kwenye maandishi...
Ukiwa mvivu wa kusoma "magazeti" utakuwa umekubali mwenyewe kujitenga na maarifa na ufahamu na hivyo kuendelea kuukumbatia ujinga wa kukosa ufahamu na maarifa..
Kama kukuambia hayo, unatafsiri kuwa ni "kubagazwa", basi pole sana na nakutakia kila la kheri, sitasema neno jingine zaidi kwako...