PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inaelezwa kuwa utamaduni wa CCM katikati ya mihula ya Rais unaeleweka bayana na Rais Samia ndiye mgombea Urais wa JMT kupitia CCM

Hofu iliyotanda ni endapo aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda atakuwa Waziri mkuu na kukabidhiwa TAMISEMI kama ilivyokuwa kwa Lowassa

Mafisadi wameshikwa na Hofu kuu lakini ndio hivyo hakuna namna Mtume wa 13 kutokea Damascus ndiye PM ajaye

Baadae Mlale unono siye Tupo Break Point ya Bahari tunaangalia Uwekezaji 😄🇹🇿
Usimkuze sana huyo dogo watapita naye huku wanamchekea....unwafahamu wahuni lakini hawana simile...ohoo
 
Inaelezwa kuwa utamaduni wa CCM katikati ya mihula ya Rais unaeleweka bayana na Rais Samia ndiye mgombea Urais wa JMT kupitia CCM

Hofu iliyotanda ni endapo aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda atakuwa Waziri mkuu na kukabidhiwa TAMISEMI kama ilivyokuwa kwa Lowassa

Mafisadi wameshikwa na Hofu kuu lakini ndio hivyo hakuna namna Mtume wa 13 kutokea Damascus ndiye PM ajaye

Baadae Mlale unono siye Tupo Break Point ya Bahari tunaangalia Uwekezaji 😄🇹🇿
Sawa tumekusoma Lucas Mwashambwa
 
Na huu mchongo anasimamia mzee wa msoga alafu mafisadi yapate tumbo joto si ndio!
 
Inaelezwa kuwa utamaduni wa CCM katikati ya mihula ya Rais unaeleweka bayana na Rais Samia ndiye mgombea Urais wa JMT kupitia CCM

Hofu iliyotanda ni endapo aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda atakuwa Waziri mkuu na kukabidhiwa TAMISEMI kama ilivyokuwa kwa Lowassa

Mafisadi wameshikwa na Hofu kuu lakini ndio hivyo hakuna namna Mtume wa 13 kutokea Damascus ndiye PM ajaye

Baadae Mlale unono siye Tupo Break Point ya Bahari tunaangalia Uwekezaji 😄🇹🇿
Acha mahaba ya kilofa, kwa awe PM na waziri TAMISEMI at the same time? Kwa lipi alilolifanya? Arusha kafanya nini, kaiacha alivyoikuta
 
Back
Top Bottom