City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Aisee...
Wee Mzee kweli uzee umekuharibu ubongo kbs!!!Inaelezwa kuwa utamaduni wa CCM katikati ya mihula ya Rais unaeleweka bayana na Rais Samia ndiye mgombea Urais wa JMT kupitia CCM
Hofu iliyotanda ni endapo aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda atakuwa Waziri mkuu na kukabidhiwa TAMISEMI kama ilivyokuwa kwa Lowassa
Mafisadi wameshikwa na Hofu kuu lakini ndio hivyo hakuna namna Mtume wa 13 kutokea Damascus ndiye PM ajaye
Baadae Mlale unono siye Tupo Break Point ya Bahari tunaangalia Uwekezaji 😄🇹🇿
Hawa CCM Wanatuona WATANZANIA km matakoo Yao ety🤔Anawezaje kwenda kinyume na bosi wake? Yaani yy akahangaike na ufisadi ikiwa toka 2021 had sasa ripot za CAG zipo kabatini zinasomwa kama gazeti la sani.
Kuna watu umeongea nao,umefanyika utafiti au umejishika moyoni na kuhisi tu?Inaelezwa kuwa utamaduni wa CCM katikati ya mihula ya Rais unaeleweka bayana na Rais Samia ndiye mgombea Urais wa JMT kupitia CCM
Hofu iliyotanda ni endapo aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda atakuwa Waziri mkuu na kukabidhiwa TAMISEMI kama ilivyokuwa kwa Lowassa
Mafisadi wameshikwa na Hofu kuu lakini ndio hivyo hakuna namna Mtume wa 13 kutokea Damascus ndiye PM ajaye
Baadae Mlale unono siye Tupo Break Point ya Bahari tunaangalia Uwekezaji 😄🇹🇿
Kwamba TAMISEMI wasimuogope Mchengerwa mkwe wa Rais waje kumuogopa msukuma mmoja anayeishi kwa kujipendekeza?Inaelezwa kuwa utamaduni wa CCM katikati ya mihula ya Rais unaeleweka bayana na Rais Samia ndiye mgombea Urais wa JMT kupitia CCM
Hofu iliyotanda ni endapo aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda atakuwa Waziri mkuu na kukabidhiwa TAMISEMI kama ilivyokuwa kwa Lowassa
Mafisadi wameshikwa na Hofu kuu lakini ndio hivyo hakuna namna Mtume wa 13 kutokea Damascus ndiye PM ajaye
Baadae Mlale unono siye Tupo Break Point ya Bahari tunaangalia Uwekezaji 😄🇹🇿
Yaani fisadi serikalini anapewa rungu kushughulika na mafisadi private sectorSs mafisadi c ndio hao hao wanaishi wote nyumba mojaa🤔🤔
Daaah,sio kwa ubaya mkuu,unaendaga kwenye siku zako kwa wakati? kama sio nikutafutie mganga mzuri maana akili imeshaanza kuondoka hivyoInaelezwa kuwa utamaduni wa CCM katikati ya mihula ya Rais unaeleweka bayana na Rais Samia ndiye mgombea Urais wa JMT kupitia CCM
Hofu iliyotanda ni endapo aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda atakuwa Waziri mkuu na kukabidhiwa TAMISEMI kama ilivyokuwa kwa Lowassa
Mafisadi wameshikwa na Hofu kuu lakini ndio hivyo hakuna namna Mtume wa 13 kutokea Damascus ndiye PM ajaye
Baadae Mlale unono siye Tupo Break Point ya Bahari tunaangalia Uwekezaji 😄🇹🇿
Kwamba wizara nyingine hakuna ufisadi? Acha tuendelee kuzitafuna za miradi hukuVurugu zote ni Hofu ya Makonda kuwa Waziri mkuu na kisha kukabidhiwa TAMISEMI, mafisadi matumbo moto!
Bogus Country mara 800 Dotto Biteko ila sio huyo MakondooHofu iliyotanda ni endapo aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda atakuwa Waziri mkuu na kukabidhiwa TAMISEMI kama ilivyokuwa kwa Lowassa
Mafisadi wameshikwa na Hofu kuu lakini ndio hivyo hakuna namna Mtume wa 13 kutokea Damascus ndiye PM ajaye
Rubbish, makonda mwenyewe jizi kuliko majizi yaliyowahi kutokea tanzaniaInaelezwa kuwa utamaduni wa CCM katikati ya mihula ya Rais unaeleweka bayana na Rais Samia ndiye mgombea Urais wa JMT kupitia CCM
Hofu iliyotanda ni endapo aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda atakuwa Waziri mkuu na kukabidhiwa TAMISEMI kama ilivyokuwa kwa Lowassa
Mafisadi wameshikwa na Hofu kuu lakini ndio hivyo hakuna namna Mtume wa 13 kutokea Damascus ndiye PM ajaye
Baadae Mlale unono siye Tupo Break Point ya Bahari tunaangalia Uwekezaji 😄🇹🇿
Tanzania kulikuwa na waziri mkuu mmoja tu na hatakuja kutokea mfano wake,Edward Moringe SokoineInaelezwa kuwa utamaduni wa CCM katikati ya mihula ya Rais unaeleweka bayana na Rais Samia ndiye mgombea Urais wa JMT kupitia CCM