Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 787
- 1,394
Atahatibu sana. Subirini mtaonaHuyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Atahatibu sana. Subirini mtaonaHuyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Uwaziri Mkuu Sio Matako! Kwamba kila mmoja anaweza kuyamiliki!!!Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Huyo Majaliwa ana Elimu gani?hapa team Msoga itakuwa vita.Kumbuka huyu Mwamba ni mtu wa visasi,atataka kurudisha ghorofa lake alilopokonywa na GSM kwa kutishiwa 🔫na mchezo ulichezwa na mwanamfalme wa Msoga akiwa Naibu pale ardhi.Sasa wanaelewa zaidi kisasa Cha huyo Ngosha.Ila Arusha Gambo pia ni mwana Msoga,tunaweza kushuhudia mlango wa pili wa kutokea wa Makonga Mkuu tuongeze 🍿Naunga mkono hoja.
Kuna baadhi ya mawaziri wakuu waliopita kama akina mzee Kawawa , Sokoine, Malecela, Sumaye, Lowasa na Pinda ambao hawakuwa na elimu kubwa kihivyo ambayo Makonda hana.
Naona haina haina shida alipewa hiyo nafasi ya kuwatumikia wananchi.
Yanayofanyika yote wako wapi!?Hawezi na haiwezekani tiss sio wajinga
Tutakuwa tumefika mwisho na itakuwa ni ya waamoli.Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Alivyotemwa muda mrefu, alirudi ni yule yuleAtabadilika,
Kumbuka kwenye vyama makundi hayakosekani hivyo mwenye nguvu ndio anafanikiwaWanao Chongewa Njia Hawaupati
Hawezi kuwa waziri mkuu huyo. Hana akili hizo. Makonda huwa anatafuta sifa binafsi kumpa uwaziri mkuu ni kutaka kuleta mgogoro wa kimamlaka kati ya wazir mkuu na raisi .Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Hapo sawaHawezi kuwa waziri mkuu huyo. Hana akili hizo. Makonda huwa anatafuta sifa binafsi kumpa uwaziri mkuu ni kutaka kuleta mgogoro wa kimamlaka kati ya wazir mkuu na raisi .
Kumbuka ya lowasa na kikwete
Hawezi kupewaHuyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.