PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenye kifua kipana ndio Waziri Mkuu
Mwenye kifua kipana vs mwenye matako makubwa nani zaidi hapo?
Screenshot_20240716_193908_Google.jpg
 
Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Kwa Nchi yetu mambo yanvyokwenda Kisiasa, inawezekana maana naye si Mwanadamu. Ila itashusha hadhi ya Nchi yetu kama ikitokea hivyo!
Ana tuhuma Nyingi sana nyuma yake, alafu ameitwa na tume ya maadili zaidi ya mara 3 na akadharau. Sio kiongozi mwema!
 
Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Kwa sababu tu ana matako makubwa ndiyo awe Waziri Mkuu?? Kama kipimo ni kuwa na mswambwanda, sawa amepata. Lakini kama ni uwezo na akili na busara basi mpeleke akawe Waziri Mkuu wa nyumbani kwako

Screenshot_20250627_144250_WhatsApp.jpg
 
Werevu hamtaki siasa mko bize na mambo yenu sasa unategemea nini
Acha hao wanaoitwa wajinga wachangamkie fursa za kwenye siasa ikiwemo uongozi

Makonda kuwa waziri mkuu hata urais sitashangaa hata kidogo
Kama Raisi aliyepo madaraka I ameweza kupewa nchi Kwa makonda sishangai Kwa kweli !!!🤣🤣
 
Back
Top Bottom